Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo jamaa hawezi kuwa na hiyo hela niamini mimi.Hizi cross multiplication zako!!! Sijui unatumia model gani kuzi"run" !!!
😂 😂 😂Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Ile kusema amemuelekeza H.G sehemu ya kuchukua mafuta ya kujipaka wakati H.G alikuwa chumbani kwake baada ya kutoka kuoga pekee inaelekea ni zaidi ya hekaya za abunuasiNilipofika hapo eti nikaanza kumpaka mafuta
Ndo nikajua huu utunzi mbovu
[emoji3516]Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Chai bora ni majani ya TATEPAA..🤣🤣🤣Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Iwe na maziwa isiwe na maziwa.......Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Tatizo ni chura.We jamaa ni mjinga sana hata huyo mke wako atakuwa anaishi nawe kwa shida sana, baba mwenye nyumba kumla house girl ni tabia za kishenzi.
😂😂😂Due dilligence ya haraka haraka imeonyesha una vistory vingi vya kuunga unga vya uongo na kweli.
Hii chai yako ya leo nimegoma kuinywa
Iwe na maziwa, isiwe na maziwaaa,Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
[emoji1][emoji38]Kama unatembea na hgirl means hata hiyo milioni aliyokuomba huna