the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mohammad Kassim ambaye ni Baba Mzazi, ametangaza kupotelewa na Watoto wake wawili ( wanaoonekana pichani ), ambao wamepotea jana jioni majira ya saa kumi na mbili maeneo ya Temeke Jijini Dar es salaam wakiwa na Dada wa Kazi.
Akizungumza Kassim amesema Dada huyo wa kazi ambaye jana ilikua ni siku ya tatu tangu kuanza kufanya kazi kwenye Familia hiyo, aliondoka na Watoto hao akiaga kuwa anakwenda nao Dukani lakini wakatokomea moja kwa moja.
Soma Pia:
“Tunaomba yeyote mwenye taarifa za Watoto hawa aende Kituo chochote cha Polisi kilicho karibu nae au anipigie kwa namba yangu 0744-555-574” - Kassim.
Soma: Watoto walioibwa na dada wa kazi wapatikana kwa mganga Dar

- Matukio ya Dada wa kazi kuwafanyia ukatili watoto wa maboss ikiwamo kuwaua nani alaumiwe?
- Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024