Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu Lissu amekuwa na kipaumbele cha kupigania Taifa na kudai utawala wa Sheria na ulinzi wa Haki za Binadamu, na kwamba kama familia walishangazwa waliposikia ndugu yao anashtakiwa kwa uhaini

Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Februari 09.2026 Mchungaji Rose Masesa amesema Serikali inapaswa kutafakari mara mbili kuhusu kesi hiyo ambayo amedai kuwa badala ya kujenga uwepo wake unaendelea kuleta 'mgawanyiko' kwa jamii ikizingatiwa kuwa Tundu Lissu ni mwanasiasa anayeongoza chama kikuu cha upinzani hivyo ana wafuasi wengi nyuma yake.

4R mnauliza leo!?..ndugu yenu alizibutua,akashauriwa na kiongozi wa dini
 
20260209_061435.jpg
 
dada mkubwa,
hata ujaribu kuatract public sympathy kiasi gani haitamsaidia huyo mdogo wako mropokaji na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

huyo muungwana ni wazi ni mkiuka sheria kwa makusudi, ni muhimu sana na ni vizuri kuacha mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru na kwa uwazi ili hatima na haki yake ipatikane kwa uwazi.

na kwa maoni yangu huyo muungwana mropokaji ni muhaini pasina shaka yoyote na haki yake ni jela na kua hanged tu ili iwe fundisho kwa waropokaji wakiuka sheria wengine :NoGodNo:
 
Hata Samia mwenyewe akikusoma hapa anakuona mpumbavu sana
 
wakati lissu akimtukana na kumhujumu Magufuli huyu dada yake alikuwa wapi?
 
Huyo dada hayo ni maoni yake, Lisu hajawahi wala hatakaa atetemekee walevi wa madaraka. Huyo dada asitake kuomba msaada wa kwa rais jizi la kura na liuaji.
 
Back
Top Bottom