Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
dada mkubwa,Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu Lissu amekuwa na kipaumbele cha kupigania Taifa na kudai utawala wa Sheria na ulinzi wa Haki za Binadamu, na kwamba kama familia walishangazwa waliposikia ndugu yao anashtakiwa kwa uhaini
Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Februari 09.2026 Mchungaji Rose Masesa amesema Serikali inapaswa kutafakari mara mbili kuhusu kesi hiyo ambayo amedai kuwa badala ya kujenga uwepo wake unaendelea kuleta 'mgawanyiko' kwa jamii ikizingatiwa kuwa Tundu Lissu ni mwanasiasa anayeongoza chama kikuu cha upinzani hivyo ana wafuasi wengi nyuma yake.
suti ya huyo kibaraka ni kama ya Mseveni wa uganda, huenda fundi wao ni moja
Hata Samia mwenyewe akikusoma hapa anakuona mpumbavu sanadada mkubwa,
hata ujaribu kuatract public sympathy kiasi gani haitamsaidia huyo mdogo wako mropokaji na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,
huyo muungwana ni wazi ni mkiuka sheria kwa makusudi, ni muhimu sana na ni vizuri kuacha mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru na kwa uwazi ili hatima na haki yake ipatikane kwa uwazi.
na kwa maoni yangu huyo muungwana mropokaji ni muhaini pasina shaka yoyote na haki yake ni jela na kua hanged tu ili iwe fundisho kwa waropokaji wakiuka sheria wengine
chukua maelezo hayo ya msingi gentleman itakusaidia sana,Hata Samia mwenyewe akikusoma hapa anakuona mpumbavu sana
Huyo dada hayo ni maoni yake, Lisu hajawahi wala hatakaa atetemekee walevi wa madaraka. Huyo dada asitake kuomba msaada wa kwa rais jizi la kura na liuaji.wakati lissu akimtukana na kumhujumu Magufuli huyu dada yake alikuwa wapi?
Duniani kote watu wenye hadhi ya urais wananamna ya kuvaaHata Samia mwenyewe akikusoma hapa anakuona mpumbavu sana
Duh mambo ya kuvaa yameingiaje tena? Labda ume misquoteDuniani kote watu wenye hadhi ya urais wananamna ya kuvaa