Dada wa mjini kimeumana Uturuki

Muongo ni wewe nilikupuuzia tu. Hii habari imejaa insta nenda kwa baby-ake tangu muda unaipost ipo ndo maana masha kajitokeza kujibu tuhuma
Muongo mwaya.
Huoni nilivyo m-confront akakosa jibu.
 
Ma punda yamerudi kwa kasi siku hizi njia ni uturuki watu wanatengeneza kiki za kijinga ili akirudi na matiti yake kama yalivyo aseme aliumwa wakati wa operesheni kumbe mzigo ulishaenda
 
Muongo ni wewe nilikupuuzia tu. Hii habari imejaa insta nenda kwa baby-ake tangu muda unaipost ipo ndo maana masha kajitokeza kujibu tuhuma
Shida nini jamani

Kuna memba hatupo insta huko
 
Hee kumbe kuna mchuano? Me sikujua.
Asee how on earth utake kuwa mtu fulani? Kila mtu ashinde mechi zake na warumi aachwe apumzike hadi siku ya ufufuo wa kwanza au wa pili kutegemeana na matendo yake (hii ni kulingana na imani yangu).
Kuna walio miss umbea wa warumi hivyo tunatafuta mrithi ambaye ataleta nyuzi the same kama warumi.
 
Surgery imeenda vizuri sema ile video alikuwa bado na maumivu!! Esther na Mashalove. Esther boss Masha love ambassador
 
Siyo mtu wa umbea ila nilisikia Masha Love kaenda nje kufanyiwa upasuaji wa maziwa.

Ili yaweje?

Anataka kuongeza mzigo zaidi ya ule alionao?
 
Akili yangu inanituma baada ya goli la China kuwa gumu inaonekana Uturuki ndio upenyo mpya wa wasafirisha unga.

Subirini tu siku si nyingi mtaniambia, kwamba sasa hivi hospitali za India hazifai tena?
Very logical mkuu
Nakuunga mkono 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…