Daa vigogo wa jamii mpo nawasalimieni kwa jina la muungano.Nipo my dear ...mzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa vigogo wa jamii mpo nawasalimieni kwa jina la muungano.Nipo my dear ...mzima?
Muongo mwaya.
Huoni nilivyo m-confront akakosa jibu.
Tupo sema tumekuwa wasomaji zaidi...majukumu yametuzidi.Daa vigogo wa jamii mpo nawasalimieni kwa jina la muungano.
Shida nini jamaniMuongo ni wewe nilikupuuzia tu. Hii habari imejaa insta nenda kwa baby-ake tangu muda unaipost ipo ndo maana masha kajitokeza kujibu tuhuma
Kuna walio miss umbea wa warumi hivyo tunatafuta mrithi ambaye ataleta nyuzi the same kama warumi.Hee kumbe kuna mchuano? Me sikujua.
Asee how on earth utake kuwa mtu fulani? Kila mtu ashinde mechi zake na warumi aachwe apumzike hadi siku ya ufufuo wa kwanza au wa pili kutegemeana na matendo yake (hii ni kulingana na imani yangu).
Surgery imeenda vizuri sema ile video alikuwa bado na maumivu!! Esther na Mashalove. Esther boss Masha love ambassadorMambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za mwili.
Safari ya uturuki ilidhaminiwa na boss wake ambaye ni dada ya mjini (ambaye jina lake la kwanza linafanana na malkia mmoja ambaye aliingia kwa mfalme akiwa natural yaani bila kujipodoa na mfalme akavutiwa naye. Jina la pili la sponsa aliyesimamia gharama ya safari hii ni broker).
Watu wako kwenye maombi ili Mungu amsaidie mambo yabadilike maana hali si hali kwa mdhamini (anawaza atapeleka wapi mtoto wa watu kama likimpata baya) na mdhaminiwa (ambaye inqvyosemekana yuko icu).
Huyu balozi wa bidhaa pia ni mzazi mwenzake na MC mmoja maarufu sana na mwenye maneno ya kukera. Ila jamani tuacheni kumkosoa Mungu...kama Mungu amekuumba na pasi ridhika, kama Mungu amekuumba na sura ya baba ridhika.
Sijui kwa nn kaniuma hivi.japo nlikuwa simfahanu[emoji22]Warumi katuacha dear[emoji19]
Siyo mtu wa umbea ila nilisikia Masha Love kaenda nje kufanyiwa upasuaji wa maziwa.
Umbea umemfikia mwenye mji wakeBI Dalali amezaa na MC gani maarufu?
Hv aliendaga wap yule dadaTangu Warumi Atutoke Umbea Hauna Mpashaji Mzuri Tena
Due aiseeeNdio
Hugo mashaal mwenyewe ndo yule hasaMasha ndo amezaa na dokta kumbuka
Hatunaye Kwenye Ulimwengu HuuHv aliendaga wap yule dada
Ameenda kwa kumsaidia Hashim Rungwe kupiga campaign ya kugombea UraisHv aliendaga wap yule dada
Very logical mkuuAkili yangu inanituma baada ya goli la China kuwa gumu inaonekana Uturuki ndio upenyo mpya wa wasafirisha unga.
Subirini tu siku si nyingi mtaniambia, kwamba sasa hivi hospitali za India hazifai tena?
Hugo esther ndo nani hapa mjini?Surgery imeenda vizuri sema ile video alikuwa bado na maumivu!! Esther na Mashalove. Esther boss Masha love ambassador
Wht happened aiseee?Hatunaye Kwenye Ulimwengu Huu