Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

SULUHISHO NI KUMUACHA AFUNZWE NA DUNIA,MTU MZIMA above 18yrs ANAYEJIITA ana akili timamu.LEAVE Her ALONE ..ni haki yake ana haki ya kuamua mambo yake .Mimi ata aniombe hela siwezi kumpa HELA akahonge mwanaume ni bora nikatoe sadaka kanisani au nipeleke watoto yatima...NI BORA APATE SHIDA ili shida imfundishe apate akili..
TATIZO LIPO KWENYE UBONGO WAKE sasa huwezi kumbadilishia ubongo mpya umuumbe upya wewe sio Mungu.
 
Niunganishe Na Dada Yako Nimtoe Wenge a.k.a Umbwichichi Umsumbuao
 
mchukue rafiki yake na sister
 
Nikiwa kama mtoto wa Manzese kuna wanangu ni matapeli na wana wake na watoto acha u snitch mtoto wa kiume

Tukioa mnapiga makelele unataka tutie mimba tukimbie ?
 
Nashangaa muda wote hajmuambia
 
Mwambie dada ukweli wote,
Kisha muache yeye aamue cha kufanya
 
Ni simple
Tafuta kesi ya mchongo
Apelekwe polisi
Ukweli utajulikana
 
Mpatie taarifa, siyo maelekezo ya unachotaka sister afanye.
 
 
muheshimu shemeji yako mkuu sio unamuita majina ya ajabu

halafu unazijua mali kweli wewe

no way.!
 
muheshimu shemeji yako mkuu sio unamuita majina ya ajabu

halafu unazijua mali kweli wewe

no way.!
Lijamaa kwa sababu ni litapeli (kumdanganya sista alipe pesa limalizie kujenga nyumba ili ikikamilika kwa wakati wahamie na sista ni kosa KUJIPATIA Fedha/pesa kwa njia ya udanganyifu ni kosa hata kisheria ni utapeli...uongo kutumika kupata pesa,ili hali ile site aliyokuwa anampeleka sista kumuonyesha ujenzi unavyoendelea si yake ,na sista akawa anampanga mama anachota hela kwa mama analipelekea lijamaa ili ujenzi uendelee (UJENZI HEWA).

NI USEMI WA SIKU NYINGI...ni heri ukose mali lakini upate akili...aliimba msanii banza stone...ni usemi nimetumia kuonyesha ...NI HERI UKOSE ukose kitu kingine lakini si kukosa akili....MAANA WATU WENGI WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA/AKILI...ukikosa akili ni rahisi kuangamia hata kupoteza kila kitu....kuna usemi mwingine unasema..

a fool can make money but it take for a wise to use IT

au kifupi WAJINGA NDIO WALIWAO.

SIWEZI KUMUHESHUMU ,heshima ni kitu ambacho value mtu anayoipata anagain baada ya kufanya jambo linalostahili heshima,mf.kwa zile good morals values alizonazo zinaimpatia au zinampotezea HESHIMA automatically kadiri ya matendo yake.
Kuna namna ukitenda uki behave unajipatia heshima au unaipoteza.

HUWEZI KUFANYA maujinga halafu ukategemea uheshimiwe.

HESHIMA UNAIJENGA au unaibomoa MWENYEWE
na inakuja yenyewe sio kwa kuivuta kwa kamba au kwa kulazimisha uheshimiwe.
 
Mkuu mbona bia za Tusker hazipo.
 
Mwamba umeandika kwa uchungu
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…