bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mackenzie ni mfanyabiashara wa viuongo vya binadamAngemfungulia msikiti au madrasa tu.
Mimi mwanangu nikiwa simuelewi namfungulia kanisa awe kama yule mchungaji wa Kenya McKenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mackenzie ni mfanyabiashara wa viuongo vya binadamAngemfungulia msikiti au madrasa tu.
Mimi mwanangu nikiwa simuelewi namfungulia kanisa awe kama yule mchungaji wa Kenya McKenzie
Matatizo binafsi ya mtu dini isisingiziweDini ni ugonjwa mbaya sana wa akili kuwahi kutokea duniani.
Msiwaze, Mungu Mkuu atamfanyia wepesi kijana atarudi na kuwa sawa tu soonHatujui yupo hai au amekufa, yaani hakuna tunachojua
😀😀😀😀Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 iliisha, ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.
Sister na sisi wajomba zake ikabidi tumuite Dogo tumkanye kuwa Uongozi wa pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
=====================
=====================
NINEONA BAADHI YA WATU WAKIMLAUMU SISTER KUWA JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKE HIVYO HAKUTAKIWA KULALAMIKA KUWA DOGO HAMSAIDII
JAMANI NIWAAMBIE TU MTU MWENYE JUKUMU LA KUSOMESHA NA KULEA KWA ASILIMIA KUBWA NI BABA LABDA AWE AMEFARIKI, NA DOGO BABA YAKE ALISHAKIMBIA MAJUKUMU HIVYO ALITAKIWA AJUE MAMA YAKE AMEENDA KUKOPA KARIBIA MILIONI 8 KUREPLACE JUKUMU LA BABA YAKE HIVYO ALITAKIWA DOGO ANAPOMALIZA SHULE AANGALIE KUWA MAMA YAKE HAKUWA NA HZO PESA NA ALIJITOA MUHANGA KUREPLACE NAFASI YA BABA YAKE ILI ASOME SO DOGO ALIPOMALIZA ILIKUWA NI MUHIM KUSAIDIANA NA MAMA YAKE MNAOSEMA KUWA DADA ASILALAMIKE NGOJENI YAWAKUTE
Nimecheka hadi nimepaliwa na maji [emoji4]Acha avune alichokipanda kama kunyoa ndevu hataki wacha hadi m@vuzz asinyoe si anataka kuwa kama Osama?
Unaonaje tufungue dini yetu tudake pesa za mamburula we Pisi Kali [emoji848][emoji2]Ukilijua hili hukai ukahangaika hata siku moja
D
Matatizo binafsi ya mtu dini isisingiziwe
Kwani ye ndo wa kwanza kushika dini ingekuwa wote wapo hivyoDini ndio ime lay foundation ya huo ujinga.
Duuuh [emoji15] Bibi nakuheshimu ujue?Labda huyu mjomba'ke aliyeleta mada angefurahi sana huyo kijana angekuwa shoga.
Kuna njia za kiasili za kuwarudisha watu waliolowea na wasiotaka kurudi nyumbani.Mtihani wallah
Kuna yule mama Twaiba wa Kariakoo yamemkuta kama hayo mtoto wake alienda chuo South Africa amepotelea huko huko.
Amelia mpaka na kumtafuta mpaka basi
Kaulize Professor Dr. Hamza Njozi alikuwa anavaa vipi Muhimbili.mpeleke mwanao pale muhimbili aanze kazi akivaa kanzu kobazi na kibarakashia alafu uone ndani ya week kama atatoboa
wewe unasema kuwa madokta wanavaa nusukanzu hebu nitumie picha ya dokta wa muhimbili hapa au hopitali yoyote hapa bongo aliyevaa kobazi kibarakashia na kanzu kazini kama sio umechanganyikiwa wewe
Na wazazi wengi wenye matarajio kama huyo mama wataenda kuumia sana, hata hapo kosa linaonyesha lipo kwa huyo mama, huyo Dr wake pamoja na mapungufu yake ya kubase upande wa dini sana lakini inaonyesha ni sababu ya mama yake kutaka malipo kwa mtoto wake, yeye anawatoto wengine na unasema wamekuwa kivuruge na kawaacha tu waendelee na maisha Yao lakini huyo Dr wake mtoto akataka aje kumlipa Sasa inaonyesha huyo mtoto kaona na yeye ajifanye chizi akae pembeni.Kupata huwa ni majaliwa.
Tuzae tu sawa lakini kupata huwa ni majaliwa.
Na Ndiyo maana dada yako yuko disappointed much sababu alikuwa na matarajio makubwa toka Kwa mtoto wake.
Kuepuka hilo alipaswa kutokutarajia chochote ilimradi iwe salama.
Dawa yao unye uwapige nayo usoni...Hawa jamaa wanajiitaga "Jidi boys" advance ndio niliona kumbe waislamu ni washenzi wao kazi kujitenga kuanzia kusoma mpka michezo na ikitokea kuna muislamu anaandama na mkristo hafu darasani ni kipanga atapigwa vita mpka basi kwmba asome na waislamu wenzie pekee
Kipindi cha mock form six kulikuwa na possible Hahaha huwezi amini hawa watu walikuwa wanaamshana wenywe kwa wenywe usiku nilikuwa deka la Chini jamaa yangu kipanga akaamshwa deka la juu akawasovie maswali kimya kimya.
Shule za A-level zinaharibu sana vijana.....Pugu sec maji shida so jidi kule wana maji ukienda kunya choo cha jidi hafu mkristo utaisoma namba watakuandama mpaka ukome......
Hakuna tokeo lisilokua na chanzo... single mothers ndio chanzo Cha kuporomoka maadili eg ushoga ulawiti,kuzalisha majambaz,kuzalisha malaya wenzao...nkNazani ni mtihani tu @ Ndugu ,
Tusikimbilie kuhukumu Kwa namna hiyo.