Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kwa sababu hawawi useless na mizigo kwenye familia zao watokazo.Wapi umeona mtoto wa kiislam kamchinja mama yake
Yaani mtoto wa kiislam akiamua kusoma na kuifata dini yake inakuwa tatizo ila mtoto wa kikiristo akisoma na kuwa mchungaji anaonekana ana akili na mjanja!. Mbona hamuwatukani mapadre na wachungaji
Unakuta jitu linajifanya kusoma dini halitaki hata kufanya kazi yeyote.
Atakula na kuishi vipi ??