Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Wapi umeona mtoto wa kiislam kamchinja mama yake

Yaani mtoto wa kiislam akiamua kusoma na kuifata dini yake inakuwa tatizo ila mtoto wa kikiristo akisoma na kuwa mchungaji anaonekana ana akili na mjanja!. Mbona hamuwatukani mapadre na wachungaji
Kwa sababu hawawi useless na mizigo kwenye familia zao watokazo.
Unakuta jitu linajifanya kusoma dini halitaki hata kufanya kazi yeyote.
Atakula na kuishi vipi ??
 
Nani

Nani kakwambia kuwa ukifuga ndevu hutakiwi kunyoa mavuzi?

Kwa taarifa yako Mtume kafundisha wanaume wa kiislam wafuge ndevu na wanyoe masharubu, wanyoe nywele za makwapani, wanyoe mavuzi na wakate kucha pia kuoga baada ya kufanya mapenzi ili kuondoa janaba.

Uislam ni dini ya usafi kiasi kwamba hata ukienda kukojoa unatakiwa utawadhe kwa maji kuondoa mkojo na pia uhakikishe cheche na mikojo hazikurudii kwenye nguo.

Soma uelimike sio kuongea vitu usivyo na elimu navyo
Sasa Unanyoa mavyuzii ya nini wakati unapenda kufuga ndevu??
Hiyo elimu yako wafundishe wanao kwangu haina msaada ni useless kabisa.
 
" Too much expectations" ndio kitu kunachowamaliza watu wengi.

Ila Kuna mitoto mingine Ni ya hovyo Sana jamani.Yaani litoto halikumbuki jinsi mama Yake alivyokuwa analihangaikia afu bado linazingua tu.Pumbavu Sana yule kijana.
 
Hawa jamaa wanajiitaga "Jidi boys" advance ndio niliona kumbe waislamu ni washenzi wao kazi kujitenga kuanzia kusoma mpka michezo na ikitokea kuna muislamu anaandama na mkristo hafu darasani ni kipanga atapigwa vita mpka basi kwmba asome na waislamu wenzie pekee

Kipindi cha mock form six kulikuwa na possible Hahaha huwezi amini hawa watu walikuwa wanaamshana wenywe kwa wenywe usiku nilikuwa deka la Chini jamaa yangu kipanga akaamshwa deka la juu akawasovie maswali kimya kimya.

Shule za A-level zinaharibu sana vijana.....Pugu sec maji shida so jidi kule wana maji ukienda kunya choo cha jidi hafu mkristo utaisoma namba watakuandama mpaka ukome......
Ulimaliza Mwaka gani? Sasa mkuu we mkristo utoke zako Maendeleo ukanye Judi kweli badala urnde mapinduz au pondi 😂😂
 
Namshauri huyo dr kwanza apewe muo gozo kumdharau mama hata hio pepo anayoisikia ataisikia bomban.mbona dr zakir naik anapiga sut yake fresh tu.kwanin yeye anashindwa. ?
 
Wapi umeona mtoto wa kiislam kamchinja mama yake

Yaani mtoto wa kiislam akiamua kusoma na kuifata dini yake inakuwa tatizo ila mtoto wa kikiristo akisoma na kuwa mchungaji anaonekana ana akili na mjanja!. Mbona hamuwatukani mapadre na wachungaji
Wewe unaona huyo dogo yupo sawa au udini unakuchanganya??
Mapadri na wachungaji wanaliza mama zao, wanawapa presha mama zao kwa matendo yao.?
 
Hakuna Shida kwenye Mafundisho Ya Dini Ya Kiislamu,Ndo maana Hata Leo Watu Wastaarabu Tunaoishi Nao Kwenye Jamii Wengi ni Waislamu.Ukatae Usikatae Na Wewe Nahisi Unajionea.Yupo Mchungaji Mmoja Video Yake Ilitrend Akisema Kuwa Katika Mashamba Yake Kaajiri Vijana Wa Kiislamu Tu Kwa sababu Ni watulivu,Waaminifu.

NB:Mafundisho Katika Dini ya Kiislamu Ndo Yalimfanya Mtume Muhammad(S.A.W) Kuorodheshwa Kwenye Jarida La Watu Bora Zaidi duniani and Most Influential.

View attachment 2632737

Wasilam watulivu wakiwa katika population ambapo ni wachache,ila wakiwa wengi huwa ni washenzi sana,ona ya zenji kuvunja na kuchoma makanisa,umesahau uvunjanji wa mabucha ya nguruwe magomeni,umesahau mapambano ya mbeya kutaka haki ya kuchinja,achilia mbali genocide iliyofanywa na muslmubrotherhood wa misri.
 
Yaani kijana kasoma mpaka kafikia kuwa Mganga mfawidhi halafu eti mnamuita mjinga kisa kaamua kushikamana na dini yake kama Mtume alivyoifundisha. Sijui mna akili sawasawa enyi watu?!

Yaani kufuga ndevu,kuvaa kofia na kutokuburuza nguo( isbaal) ndio kuna mfanya mumuone chizi? Mngemuona Mtume na maswahaba zake si mngesema ni wendawazimu tu?!

Mtume ni obselete,we dont live,kwenye zama za giza,maisha yamebadilika hata huyo mtune angezaliwa wenzi hizi angekua ana chonga ndevu na kuweka bleach.
 
ISHU NI MAISHA YA SISTER AMEPITIA LIFE GUMU SANA KUAZIA KWA WANAUME ALIOZAA NAO WOTE WALIKIMBIA MAJUKUMU AKAWA ANAELEA KIVYAKE NA UKIANGALIA PESA KARIBIA ZOTE ZA MSHAHARA WAKE AMETESEKA KULEA VIJANA WAKE HADI LEO AMESHINDWA HATA KUJENGA MWISHO WA SIKU HAO ALIOTEGEMEA KESHO WAMSAIDIE NDIO WAMEKENGEUKA



Kupata huwa ni majaliwa.
Tuzae tu sawa lakini kupata huwa ni majaliwa.

Na Ndiyo maana dada yako yuko disappointed much sababu alikuwa na matarajio makubwa toka Kwa mtoto wake.

Kuepuka hilo alipaswa kutokutarajia chochote ilimradi iwe salama.
 
Isipokuwa huenda pia kuna Siri anayoijua yenye kumpa mashaka na ugonjwa zaidi.

Hata yule jamaa aloua askari pale salenda bridge aliwahi kwenda kusomea dini Misri nazani.

Alichokuja kufanya ikampelekea kuangamia akamwacha mamaye kwa ugonjwa wa depression na hatimae akafa mama wa watu.

Mpelekeni dada yenu Kwa sakatriki Doctor haraka na kwenye maombi mumnusuru.
 
Huyo dada yako ndio mwenye matatizo, anamfuatia mnoo mtoto wake ambaye kwa sasa ni mtu mzima.
Kijana ameamua kushika dini yake hiyo imekuwa nongwa, vipi angekuwa teja, mlevi au shoga?



Tatizo wengine wanafundishwa mambo ya hila Na Ugaidi.

Jerea swala la Rashid Mberesero mwanafunzi wa Bihawana.

Alikamatwa kwenye ugaidi Kenya,

Akishia kufa gerezani.

Mzazi mpaka anatilia shaka nyendo za mwanae huenda kuna kitu siyo kizuri.
 
Kwani hapo kosaa lipi? Kikubwa asidhuru wengine Kama ni kazi jobless mmoja ni huweni kwake atakuwa substituted chap....the rest waache watu na maisha yao na jilazimishe kuwawazia wenzio mazurii



Mchuma janga hula na wakwao.

Lazima ndugu zake na mzazi apate shaka kwa kujiuliza mwisho wake utakuwa upi?!
 
Ulimaliza Mwaka gani? Sasa mkuu we mkristo utoke zako Maendeleo ukanye Judi kweli badala urnde mapinduz au pondi [emoji23][emoji23]
Hahaha kaka 2017 hiyoo mzee beto za pugu si unazijua hahahaha ukitoka kule kila mtu anajua umetoka wapi plus maji changamoto....


Pale pugu sijawah kunya vyoo vya shule aisee nilishindwa.
 
Halafu huyo dada yake ashukuru mungu Bado ana kazi.mimi Kuna familia jirani walikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.Baba alikuwa mfanyabiashara na mama mwalimu.mtoto wa kiume alisomea mambo ya uchumi baadae akaishia kwenye ushoga.wa kike alisomea Sheria lakini Hana kazi saivi ni tena.baba alifungwa Kwa kosa la uhujumu uchumi.kwa hivyo watu Wana shida kweli
Huyo mtoto wa kike amesomea sheria ameshindwa kumpambania baba yake atoke korokoron?
 
Ndio madhara ya kusomesha mtoto ukitegemea akiajiriwa upate sehemu ya mshahara wake, mimi nilidhani mvuta banghe mwizi mlevi mzizi kumbe kachagua njia nzuri sana ya mitume na manabii, ifahamike kusoma sio lazima uajiriwe huyo mama asimkatie tamaa amuulize kazi anayoiweza amuwezeshe tu
Aliweka tumaini lake kwa mwanae
 
Back
Top Bottom