Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Naomba nitoe maoni bila kuingilia uhuru wa dini haswa kwenye malezi ya watoto, nizungumze kama mzazi,

Kwanza nimpe pole sana hyo mama kwa changamoto hyo ya kijana wake, pili nimpongeze sana kwa kuwa mjasiri kufanya kila kilichondani ya uwezo wake ili kijana wake apate elimu kwa faida yake.

Sasa tuje kwenye uhalisia.....

Malengo ya mzazi ni yapi kwa mtoto?
Je kumsomesha aje amsaidie?
Je kumpatia elimu ya malezi na ili aweze kuyamdu mazingira yake anayoishi?
Je kuendeleza kizazi chake(mzazi)
Je kuleta sifa nzuri kwenye jina la familia kwa kazi au elimu aliyoipata?
Je kuunda mtandao wa mkono wa misaada(connections) kama Watt wa mjini wanavyoita?

Sasa tufanye sifa zote hizo zaweza kuwa sahihi, swali ndo malengo ya mzazi?

Kwangu mm uhalisia ni 1 tu, mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hadi atakapokuwa mtu mzima!

Jukumu la kwanza la mzazi ni kulea tu hayo mengine ni matokeo, na kipindi cha kulea mtoto ni miaka 0-12, baada ya hapo nimaboresho, hakitaingia kipya wala kubadilika kipya,

Mtoto yeyote anapaswa kulelewa na wazazi 2 yaani mke na mme na ikitokea wameachana kama mtoto hajafika miaka 12, atunzwe na baba 70% na mama kwa 30% (sina mda wa kuieleza ila ikibidi nitaieleza)

Mtoto anapaswa kila mda awe anasikia sauti ya baba na mama kwa kipindi cha huo umri, na kwa makusudi kabisa mtoto asiwe chini ya uangalizi wa mama pekee yake na ikiwa itatokea hivyo basi awepo mjomba(blood) wa kukaa naye ili kushape tabia yake.

Itoshe kusema kwamba mzazi wa mtoto amwaache mtoto wake ikiwa aliwekeza malezi mazuri ktk huo umri kunasiku atakutana na fimbo ya Mungu atakuja tu,

Kumbuka jambo moja humlei mtoto aje kukusaidia ila unaleta mtoto aje kuwa na tabia njema, zingatia ule wimbo
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniletea mafanikio mema sasa naishi nawatu vizuri...

Ulikutana na mtu anatabia mbaya jua tu tatizo lake limeharibikia akiwa na miaka chini ya 12.

B
 
Allah amrehemu huyo kijana na awasamehe nyinyi ndugu zake kutokana na ujinga mliokuwa nao.

Mtume alisema zitafika zama, muumini kushika dini yake itakuwa sawa na kushika makaa ya moto katika mkono wake.

Anas ibn Malik reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “A time of patience will come to people in which adhering to one’s religion is like grasping a hot coal.”

Source: Sunan al-Tirmidhī 2260

Grade: Sahih (authentic) according to Al-Albani
Kushika dini haimaanishi asifanye kazi , unadhani mtume hakuwa anafanya kazi acheni mambo yenu ya kukariri
 
Back
Top Bottom