Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Amwache kijana wake atangaze dini,atalipwa thawabu pale watu wanapoacha maovu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πΎπ‘Žπ‘”π‘’π‘’π‘›π‘– π‘ π‘–π‘šπ‘’ π‘¦π‘Žπ‘˜π‘’ π‘šπ‘’π‘Žπ‘›π‘”π‘Žπ‘™π‘–π‘’ π‘˜π‘Ž π‘Žπ‘›π‘Ž π‘›π‘Žπ‘šπ‘π‘Ž π‘§π‘Ž π‘Œπ‘Žπ‘ π‘Ÿπ‘– 𝐽𝑖𝑖𝑠...β„Žπ‘’π‘¦π‘’ π‘›π‘‘π‘œ π‘Žπ‘›π‘Žπ‘‘π‘Žπ‘“π‘’π‘‘π‘Ž π‘£π‘–π‘—π‘Žπ‘›π‘Ž π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž 𝑦𝑒𝑦𝑒!

𝐾𝑒𝑙𝑒 π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘™π‘–π‘π‘€π‘Ž π‘£π‘§π‘Ÿ π‘›π‘Ž 𝑑𝑖𝑛𝑖 π‘–π‘›π‘Žπ‘“π‘’π‘›π‘§π‘€π‘Ž β„Žπ‘Žπ‘ π‘€π‘Ž!
 
Mtihani wallah
Kuna yule mama Twaiba wa Kariakoo yamemkuta kama hayo mtoto wake alienda chuo South Africa amepotelea huko huko.

Amelia mpaka na kumtafuta mpaka basi
Kuna njia za kiasili za kuwarudisha watu waliolowea na wasiotaka kurudi nyumbani.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kaulize Professor Dr. Hamza Njozi alikuwa anavaa vipi Muhimbili.
 
Kupata huwa ni majaliwa.
Tuzae tu sawa lakini kupata huwa ni majaliwa.

Na Ndiyo maana dada yako yuko disappointed much sababu alikuwa na matarajio makubwa toka Kwa mtoto wake.

Kuepuka hilo alipaswa kutokutarajia chochote ilimradi iwe salama.
Na wazazi wengi wenye matarajio kama huyo mama wataenda kuumia sana, hata hapo kosa linaonyesha lipo kwa huyo mama, huyo Dr wake pamoja na mapungufu yake ya kubase upande wa dini sana lakini inaonyesha ni sababu ya mama yake kutaka malipo kwa mtoto wake, yeye anawatoto wengine na unasema wamekuwa kivuruge na kawaacha tu waendelee na maisha Yao lakini huyo Dr wake mtoto akataka aje kumlipa Sasa inaonyesha huyo mtoto kaona na yeye ajifanye chizi akae pembeni.

Kingine huyo mama yeye ni kuzaa tu nawaume bila msingi wa familia na watoto wameliona Hilo wameamua kujivuruga, ifike sehemu tuanze kuambiana Hali halisi tulipo Sasa mifumo ya maisha imebadilika, zamani mzazi alizaa watoto na kuweka mategemeo kwao ya kumtoa kimaisha yaani hata akikaa tu nyumbani alilishwa na watoto wake hata kama ni wadogo, lakini mfumo wa maisha umebadilika Sasa unatakiwa kuzaa ili upate familia yako au marafiki zako, ndugu zako mtakao pendana hizo za kutolewa kiuchumi na watoto hazipo Tena, na tunapoelekea kama wazazi wanavyoomba shule za boarding ili watoto wakakae huko tufanye kazi basi na watoto watakuja kuomba nyumba za kutunza wazee zifunguliwe zenye viwango ili wazazi tukae huko na wao watafute pesa watutunze iwapo tuliweka mategemeo kwao, huyo dada yako na wewe mjomba shitukeni mapema mjiandalie maisha ya uzee, hata huyo Dr wenu atarudi tu.
 
Dogo kama amechagua maisha ya dini sio mbaya kibaya ni pale misimamo inakuwa mikali kiasi ashindwe kushirikiana na wenzake. Dogo anahitaji ushaurinwa kisaikolojia zaid tena kutoka kwenye dini hiyo hiyo. Pale Aga khan kuna dokta ni Answar lakini yupo peace na watu wote mara nyingi nilikuwa namuona.

Nilikuwa na rafiki yangu wa status hiyo alipigwa dini hadi akataka kwenda Yemen kujiunga na Houth aseee nikamkalisha chini japo mm ni Christian akanielewa akabaki na msimamo wa wastani.

Bi mkubwa wa huyo kijana ajilaumu kwanza alikuwa wapi hadi dogo kufikia hatua hiyo.
My dad ana watoto 18 licha ya watoto tulikwenda kusoma sehemu mbalimbali na kurudi na dini nyingine lakini alikuwa ana monitor ou steps tusije anguka kwenye mikono ya watu wenye itikadi kali.
Mama yake akubali yy ndo alikosea sasa atafute wanasaikolojia tena wanaotoka dini au dhehebu hilo hilo wenye msimamo wa wastani.
 
Dawa yao unye uwapige nayo usoni...
 
Nazani ni mtihani tu @ Ndugu ,

Tusikimbilie kuhukumu Kwa namna hiyo.
Hakuna tokeo lisilokua na chanzo... single mothers ndio chanzo Cha kuporomoka maadili eg ushoga ulawiti,kuzalisha majambaz,kuzalisha malaya wenzao...nk

Single mothers ni tatizo basi tu serikali bado hawajaamua kutunga Sheria kuwadhibiti..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…