Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka leo hamjui alipo?hakika Mimi na ndugu yangu mmoja alikuwa hivyo hivyo tulimpoteza alijiunga na magaidi Wa msumbiji
Sasa huzuni ni kuwa mdogo wake hana kazi au ni hela aliyoipoteza kusomesha? Kifupi pesa ukishaitumia hovyo, kama ulihonga, ulinywea pombe, uliibiwa, uliingiza mahali sio sahihi hutakiwi kuiwaza, wewe fikiria jinsi ya kupata nyingine na uendelee kuitafuta,kwakuwa ile haitarudi tena hata kama utapiga kelele.....Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa garama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 ilikata ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehem nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hosptitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kujiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu,Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mafanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi
Sister ikabidi amuite Dogo amkanye kuwa Uongozi pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lizima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hama maisha ya kueleweka tena na ukiangali amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomeaha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba amepanga
Hatujui yupo hai au amekufa, yaani hakuna tunachojua
Inauma sana aiseehatujui yupo hai au amekufa yani hakuna tunachojua
ISHU NI MAISHA YA SISTER AMEPITIA LIFE GUMU SANA KUAZIA KWA WANAUME ALIOZAA NAO WOTE WALIKIMBIA MAJUKUMU AKAWA ANAELEA KIVYAKE NA UKIANGALIA PESA KARIBIA ZOTE ZA MSHAHARA WAKE AMETESEKA KULEA VIJANA WAKE HADI LEO AMESHINDWA HATA KUJENGA MWISHO WA SIKU HAO ALIOTEGEMEA KESHO WAMSAIDIE NDIO WAMEKENGEUKASasa huzuni ni kuwa mdogo wake hana kazi au ni hela aliyoipoteza kusomesha?Kifupi pesa ukishaitumia hovyo,kama ulihonga,ulinywea pombe,uliibiwa,uliingiza mahali sio sahihi hutakiwi kuiwaza,wewe fikiria jinsi ya kupata nyingine na uendelee kuitafuta kwakuwa ile haitarudi tena hata kama utapiga kelele.....
Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa garama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 ilikata ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehem nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hosptitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kujiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu,Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mafanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi
Sister ikabidi amuite Dogo amkanye kuwa Uongozi pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lizima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hama maisha ya kueleweka tena na ukiangali amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomeaha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba amepanga
Ndio madhara ya kusomesha mtoto ukitengemea akianiriwa upate sehemu ya mshahara wake,mm nilidhani mvuta bnghe mwizi mlevi mzizi kumbe kachagua njia nzuli sana ya mitume na manabii ifahamike kusoma sio lazima uajiriwe huyo mama hasimkatie tamaa amuuluze kazi anayo iweze amuwezeshe tu
kila mzazi huwa anajitoa ili mtoto baadae aje kumuangalia hata akikwama huwezi ukapata maisha usisaidie wazazi wako
Mtihani wallah
Kuna yule mama twaiba wa kariakoo yamemkuta kama hayo mtoto wake alienda chuo Southafrica amepotelea huko huko
Amelia mpaka na kumtafuta mpaka basi
Dini ni ugonjwa mbaya sana wa akili kuwahi kutoke duniani.
Angemfungulia msikiti au madrasa tu.
Mimi mwanangu nikiwa simuelewi namfungulia kanisa awe kama yule mchungaji wa kenya McKenzie
Hakika maana hapo kwa maelezo hayo huyo yupo tayari kwa lolote
Maarifa hukaa penye akili zilizotimia, mtu mwenye kasoro kwenye akili umpa maalifa nusu nusu utakuta kaua watu uko, sasa kama anafikia hatua ya kumtelekeza mama ake wakati ndo sehemu yakujipatia pepo hapo kuna tatizo chamsingii tumwombee apate mtu mzuri wakumuelekeza.
Inawezekana tayari Yuko huko...jamaa wana brainwashing mbaya sanayaani huyo muombee asikutane na wakala Wa Al shabab imeisha hiyo
YaaniAnapaswa , kulipa kwanza MAHANGAIKO ya mzazi wake HAYA yanayoonekana. Kisha atafute UNABII wake . Mzazi anaugua kwa MADENI , mzazi ANAUGUA kwa mahangaiko ya mwanae.
Ni bora ampumzishe HANGAIKO MOJA.
Itakuwa amekutana na hao jamaa tayariInawezekana tayari Yuko huko...jamaa wana brainwashing mbaya sana
AiseeKipindi nko advance miaka ya 2000 hili vuguvugu la udini lilianza ghafla.
Shule ya serikali, kuna baadh ya maustaadh wakakusanyana wakaanza kama kujitenga.
I remember tulikua tunawaita alshakaki.
Jamaa walikua serious kwelikweli na dini, mixa wakikukuta mnyonge wanawataitisha madogo balaa, naskia kuna ambao walikua wanapelekwa kwenye mskiti wao na kuwalamba viboko kwa mfano wakikuta wamevaa zile suruali fupi n.k.
Jamaa ambao nlikua nasoma nao class moja baadh wajaamua kujiunga huko, ghafla wakaacha kuingia class except kipindi cha BAM na GS. MAoni yao n kwamba hawakubali kusoma Elim dunia. Ni kafir!
In short tulikuja kumaliza bila wao kufanya mitihani kasoro hyo mitihani miwili tu.
Naskia wamebaki huko kwa wambuli, wamejichukulia mabinti wa kimbulu wameoa wanadeal na mskiti tu.
Hua najiuliza kuhusu mmoja wao aliekua anatokea bukoba huko, safari ilivo ndefu na wazazi walivowekeza af ameishia kijijin hana ramani.
Sema nin, life ni kuchagua..
Huyo dada yako ndio mwenye matatizo, anamfuatia mnoo mtoto wake ambaye kwa sasa ni mtu mzima.Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa garama kubwa kumnusuru.