Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Hii dini ina shida sana kwenye mafundisho yake.
Hakuna Shida kwenye Mafundisho Ya Dini Ya Kiislamu,Ndo maana Hata Leo Watu Wastaarabu Tunaoishi Nao Kwenye Jamii Wengi ni Waislamu.Ukatae Usikatae Na Wewe Nahisi Unajionea.Yupo Mchungaji Mmoja Video Yake Ilitrend Akisema Kuwa Katika Mashamba Yake Kaajiri Vijana Wa Kiislamu Tu Kwa sababu Ni watulivu,Waaminifu.

NB:Mafundisho Katika Dini ya Kiislamu Ndo Yalimfanya Mtume Muhammad(S.A.W) Kuorodheshwa Kwenye Jarida La Watu Bora Zaidi duniani and Most Influential.

 
Mngemtafutia kazi al-shabab au al-qaeda huko angefanya kazi kwa weledi na bidii zaidi tena kidini zaidi.... Ndio angemfaidi pia huyo mtoto wake
 
Dada yako aendelee na maisha yake, mtoto kumzaa sio uhakika kuwa umepata msaidizi. Kama mzazi ni wajibu wake kumsomesha, aachane na maisha ya watoto kama wamefikia umri wa kujitegemea.
Miaka iliyobaki kazini na panapo majaaliwa, ajizatiti kujiandaa maisha ya kustaafu.
 
Ameen kwa hakika bado hajaijua dini, nina kijana namfahamu yeye babake kwa sasa anaumwa ni wakumvesha diaper lkn yeye hana muda yupo busy na darsa zake mpka unawaza ikiwa mtume saw alikataza wengine kwenda kwenye vita ili wawahudumie wazee wao, huyu elimu kaitoa wapi ya kumuacha mgonjwa baba yake ndani nae ndie wa kiume na kwenda kushinda darsa
Mtihan wallah
Kitendo cha kutomuheshimu mama yake tu kishakosea. Tumeambia Tumuamini Mungu na Mtume wake na tuwaheshimu wazazi wawili.
Huyu hajasoma dini bali kakutana na vigenge vya wahuni

Na Allah Amhidi
Kwa
 
Anaumia kitu gani sasa?
Hapo yeye ametimiza wajibu wake, amuache apambana ma ugaidi wake
 
Reactions: Auz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Wewe kafiri, wale wa Msumbiji au hao ash-Shabaab au hao Daesh/ISIS sio watu wa Sunnah. Kuna tofauti kati ya Watu wa Sunnah na Khawaarij mbwa wa motoni.
 
Wewe kafiri, wale wa Msumbiji au hao ash-Shabaab au hao Daesh/ISIS sio watu wa Sunnah. Kuna tofauti kati ya Watu wa Sunnah na Khawaarij mbwa wa motoni.
mara 100 niwe kafiri na niitwe kafiri kuliko kuwa kwenye hiyo dini. I should be very proud of being an infidel to the devil worshiper. wewe pia utakuwa muumini wa al shababu. moto wenu utakua wa petroli iliyochanganywa na damu za watu mnazomwaga.
 
Amchunge sana asije akatokomea kwenda kwa alshabab ili akauawe akarithi bikra 72 za allah...

Hapo hata mademu wa dunia hii anawaona wachafu anasubiri bikra zake 72 na mito ya pombe... hovyo sana.
 
Naamini kabisa kuwa dini makes people stupid to the point mtu unakuwa chizi. Sijawahi kuona sheikh akiulizwa swali dogo tu akajibu kwa kutumia akili zake bila kukariri mistari ya Qur'an. Hizi dini kwa kweli inabidi zikatazwe tu hapa nchini maana zinawafanya watu wetu kuwa wajinga mno.
 
Mimi niliona chuo. Nilishangaa kwa watu level za chuo kikuu kuwa vile. Walikuwa 7, walijitenga wakawa hawana muda na mtu mwingine wala kushirikiana. Tena ukiwa mkristo usikae kabisa karibu nao, muda mwingi wamekunja ndita
Nilichowakubali wote baada ya kumaliza tu chuo walioa
 


Mshauri dadako amtegemee sana Allah katika jambo hilo, kuna dua tatu zinazokubaliwa na Allah kwa haraka sana nazo ni:- 1-- dua ya msafiri, 2-- dua ya aliyedhulumiwa, 3-- dua ya mzazi kwa mtoto, kinachotakiwa ni huyo dadako amuombee huyo mwanaye kwa Allah ili amuongoze kutambua jukumu la mtoto kwa mzazi wake kwa mujibu wa Qur'an. Kuna aya ya Qur'an inahimiza jukumu la mtoto kwa Wazazi wake, kama huyo mpwao anadai ni mshika dini basi mnatakiwa mumrejeshe kwenye nasaha za Qur'an juu ya wajibu wa mtoto kwa wazazi na madhara yanoweza kumpata mtoto asipotii hiyo nasaha ya Qur'an.

NB: Hakuna mtu aliyeshika vyema mafundisho ya kiisilamu akatenda kinyume na mafundisho ya Uisilamu.
 
ukienda kunya choo cha jidi hafu mkristo utaisoma namba watakuandama mpka ukome......


Kula na kushiba nyumbani kwenu halafu uchafu wako uende kuutupa kwa jirani ??!!-- au siyo!!😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…