Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Kuna wahubiri wa dini zote sijui niwaite ni matapeli wa akili au sijui niwaiteje! maana na wao walijazwa!

Huhubiri kisirisiri,na huko wanaanzisha makundi na wanaanza kumjenga mtu IMANI MPYA akiwa bado anatafuta elimu,ujuzi,faraja,pumziko ama utatuzi au kuelewa zaidi.

Imani hiyo ni tofauti na matakwa ya Mungu Muumbaji.Na hapo wataanza kukudanganya mafuta yao ,vitambaa mishumaa vina upako wa kukufanyia kila kitu na ukiungana na njia hii basi utafika peponi na maisha yako duniani na Mambo yako yote yatakuwa rahisi na wapo watu wataamini na wako tayari kutoa maisha yao na ukiwaelekeza mtapingana na watakuona wewe sio mtu Kama wao kabisa na wako tayari kukutenga bila kujali zaidi ya kile kilichokaa kichwani

Na ndio haohao wahubiri sijui niwaite ni matapeli wa akili au sijui niwaiteje!

Wa upande wa pili
Huhubiri kisirisiri,na huko wanaanzisha makundi na wanaanza kumjenga mtu IMANI MPYA.mara Jihad,Mara utasikia Alshabaab,Mara kujiunga na makund ya uovu na vurugu,kupinga mema ya kawaida nk yaani UPUMBAVU KIBAO

Imani hiyo ni tofauti na matakwa ya Mungu Muumbaji na hapo wataanza kukudanganya Dunia si chochote so lolote,ukimpigania Mungu huyu hata ukifa utaenda peponi bila ticket,ama ukimuua mtu aliye na Imani kinyume na hii na hataki kuifuata Basi wewe umeisalimisha imani,ama watakuambia ukiishi maisha ya Dunia hii utakuwa hivi ama utakuwa vile unatakiwa upiganie hili na upiganie lile.na Ndio wanazalishwa watu waovu namna hii.

Hapo Sasa ni Kama wanakujaza maana hata wao Waalimu wao walijazwa yaani ni Kama muendelezo.Lakini kijana mwenye elimu yako unakuaje mjinga hivi??ukishakuwa mjinga Kama wao na wewe utaendeleza ujinga,Sasa msomi unakuwaje fala fala.?

Utajikuta unabadilika bila wewe mwenyewe kukumbuka mengine na kujikumbuka wewe,mama,ndugu ,familia Wala nchi yako yaani ukianza kuwaamini tu umepotea..maana wewe na wao wote mmejazwa ujinga na Waalimu wasiojulikana walifundishwa ujinga huk na Nani.. na hivi ndio vijana wengi wanapotea na kufeli maisha yao na talanta walizopewa na Mungu Muumbaji kusaidia wengine zinapotea hewani.

Kijana wenu ameshaaminishwa,akaamini na akajazwa akajaa,Tena Kuna wasomi huko wenye elimu zote nao ni wapumbavu wa kuwapumbaza wenzao,maana wao hawajijui na hata wanaowavuta huko pia hawajijui.Laiti Kama ningekuwa Nina uwezo,ama mm ndio ningekuwa muamuzi wa mwisho wa nchi yangu ningesema hizi dini za kufundishana basi,na ningepata watu wa kunisaidia ingekuwa upumbavu umekwiaha ili zisiwepo kabisa Bali kila mtu na abakie na Mungu aliye ndani yake atakayemfunza mema na mabaya,maana ukienda kulia unakuta lile na ukirud kushoto unakuta hili..dini hizi za sasa hazifundishi UZALENDO Bali zinafundisha ujinga na wanapandikiza mbegu hizo kila sehemu na ndio hizo tunazovuna Sasa kwa vijana wetu.

Kwani Kama ni Mungu hata usipojifunza kuwa amekataza baya mbona automatically ukimfanyia mtu baya lazima Kuna sauti ama nafsi ya ndani inakuambia hili ni baya na hili ni zuri? Mimi kama Mimi ningeamua haya Mambo ya kufundishana kuhusu Mungu siyataki sijui ningeitwa kiongoz wa namna gani.

Ushauri
Kijana wenu nendeni nae polepole,yaweza kuwa alidumbukia kwenye dimbwi wakat wa safari yake ya masomo bila nyinyi kujua maana mlikuwa mko nae mbali labda.Sasa njia ya kumrudisha kwenye njia njema apatikane mtu mwenye Imani Kali Kama yeye na amrudishe taratibu Tena kwa mafunzo Kama yaleyale yaliyomjaza isipokuwa yawe ya Aman na utulivu na ukweli halisi ingawa ni vigumu Ila watu wanabadilika msimkatie tamaa maana ameshaharibiwa kiakili.

Mnisamehe nilipokosea[emoji1666]Ila ujingaujinga huu utazidi kupoteza vijana wetu[emoji24]
 
Sasa mavazi yana shida gani?, kama kavunja kanuni za kazi wampe barua yenye makosa yake siyo kwenda kushtaki kwa mama.

Hao shida yao ni uislamu tu na si mengine. Angekuwa anavaa rozari inaburuza mpaka chini wala wasingemgusa
Unafikiri alipoajiriwa hakuambiwa dress code ni zipi?

Hata kama hakuambiwa, Uniform ya Madaktari dunia nzima zinafahamika, Hakuzijua?

Wawe na shida ya Uislam ili iweje? Unafikiri Uislam ni Threat?
 
Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aoneshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.

Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 ilikata ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.

Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari

Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.

Sister ikabidi amuite Dogo amkanye kuwa Uongozi pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.

Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
hiyo siyo dini ana namna yake ya upokeaji wa hiyo dini uislamu hakika umekamilika na ni dini ya haki hakuna mahali uislamu umehamlisha binadamu kuishi kama wa nyama kama huyo ndugu anavyoiishi.
pia inawezekana mahali halipo pata mafunzo ya dini siyo sahihi ila Allah ndiyo mjuzi, mimi ni miongoni mwa watu wachache ambaye nimepata kusafiri kwenye kuipata elimu ya dini nikiwa chuo kikuu cha dodoma kuanzia mwaka wa kwanza mpak na maliza chuo mwaka wa tatu kwa watu amabao wamebahatika kuishi humanities tulikuwa na musuala wetu block 6 hakika tulipata kusafiri katika njia iliyo bora katika kumjua Allah katika njia sahihi .
Allah awahifadhi mashekh wote na viongozi waliyokuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata msingi bora wakumjua Allah katika njia iliyo sahihi
 
Mjomba mtu fanya jitihada za kumteka mjomba wako kwani anamdhalilisha mama yake, ukishamteka muulize hivi hii dini itakupeleka wapi zaidi ya kuwa mnafiki tu?
 
Ndio madhara ya kusomesha mtoto ukitegemea akiajiriwa upate sehemu ya mshahara wake, mimi nilidhani mvuta banghe mwizi mlevi mzizi kumbe kachagua njia nzuri sana ya mitume na manabii, ifahamike kusoma sio lazima uajiriwe huyo mama asimkatie tamaa amuulize kazi anayoiweza amuwezeshe tu
kama kawaida yako kutetea udini, mfia dini mhafidhina
 
Sasa mavazi yana shida gani? Kama kavunja kanuni za kazi wampe barua yenye makosa yake siyo kwenda kushtaki kwa mama.

Hao shida yao ni uislamu tu na si mengine. Angekuwa anavaa rozari inaburuza mpaka chini wala wasingemgusa
Upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo mno.

Ni hivi unapomuombea ndugu kazi pale unapofanya kazi wakampa hiyo ni heshima unakuwa umepewa, hivyo basi akiharibu hawatamfukuza kama wanavyofukuza watu wengine bali watakuomba umshauri.
 
Apime DNA huyo siyo mwanae
Mwanamke akizaa na mwanaume yeyote ni mwanaye hakuna haja ya kupima DNA.Mimba kabeba yeye na aliyempa ujamzito anamjua wewe unasema akapime DNA unajua biology vizuri?.
Sisi wanaume ndio tuna viherehere vya kupima DNA.
Ule usemi unaosema watoto wa dada yako ni ndugu zako lakini watoto wa kaka yako sio lazima wote wawe ndugu zako hapa ndio maana yake unajua kwanini?
Dada yako hata azae na wanaume wa tano tofauti wote watakuwa na DNA flani za dada yako na hata wewe kaka yake utakuwa na vinasaba vyako kwao.
Ila kaka yako mkewe anaweza pigwa mimba na mtu wa mbali mno DNA za kaka yako hata zako zisiwepo hebu rudi darasani kidogo kumbuka ile topic ya Genetics Mitosis and Meiosis ya form three
 
Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aoneshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.

Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 ilikata ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.

Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari

Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.

Sister ikabidi amuite Dogo amkanye kuwa Uongozi pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.

Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.

Anusuru afya yake, huyo Dogo ataishia tu Jela kwa huo upumbavu. Afanye kama hana mtoto na hajawahi kiwa naye, miaka 48 bado ni mdogo
 
Ushauri wangu mwambie dada yetu asipate pressure yeyote ale ugali wake kwa raha zake.Kijana ndio maisha aliyoamua kuyafuata dunia uwanja wa fujo hizo ndio fujo za kijana hapa duniani.
Fujo ziko za aina nyingi kisiasa hata kiimani.
Nyerere alituletea fujo zake hatimaye kawa raisi,YESU na Mtume MUHAMAD wametuletea fujo zao tukapata dini na kujua namna ya kumcha mungu.
Kila mtu duniani kuna namna mungu amempa fungu lake na majukumu yake atakayofanya akiwa duniani.

Pia mwambie dada yetu asitengeneze dhana kuwa mtoto anamsomesha ili amsaidie baadae yeye atimize wajibu wake kama mama mzazi kusomesha na kumlisha akishamaliza hapo amekuwa mtu mzima amuachie mungu afanye kazi yake.
Nilishawahi kupata hadithi ya mtoto wa Nursery alikuwa na maendeleo mabaya sana darasani alikuwa mpiga kelele na mpenda kusumbua wenzake kwa kuimba.
Neno utulivu kwake lilikuwa shida alikuwa anapenda muda wote kusikia kelele na kuangalia TV.Akatokea mwana saikolojia mmoja akasoma mchezo akagundua yule mtoto toka hapa alibadilishiwa shule akaanza kusomea mziki moja kwa moja hadi elimu za juu.
Kwa sasa huyo mdada sasa ni mtu mzima ni moja ya wasanii duniani tajiri sana.
Ningekuwa na uwezo kumuona dada yako kwa kuni inbox tungeoanana hata mimi nina watoto shida tupu ila mmoja nimeshajua fani yake na anakwenda vizuri mno.
 
Mimi namuua hata kwa kumloga, kuna mwanetu alikuwaga anatuburuza darasa zima saivi no shehe kazi take nikupga zile hazana Tu. Ananipaga moto sana
 
Kuna watoto wengine wanazaliwa kama mashetani,mzazi anakutafutia mpaka kazi!harsfu unaishia kuwa kenge mfuasi wa dini na Imani Kali!
Yani ningepata huo msaada kutoka kwa Wazazi,Leo ningekuwa Mmoja wa matajiri bongo
 
Kuna maandishi Fulani wanaandikaga, wanafunga kwenye karatasi na kuyafungia kwenye chupa, wakishakunyeesha basi ubongo wako unspinduka unakuwa unawaza opposite. Hiyo ndiyo ilimu ya mwarabu
 
Maarifa hukaa penye akili zilizotimia, mtu mwenye kasoro kwenye akili humpa maarifa nusu nusu utakuta kaua watu huko, sasa kama anafikia hatua ya kumtelekeza mama yake wakati ndio sehemu ya kujipatia pepo hapo kuna tatizo cha msingii tumwombee apate mtu mzuri wa kumuelekeza.
Kamtelekeza vipi,yeye kaamua kufuata dini tu,muajiriwa ni vigumu kutekeleza ibada za uisilamu
 
Uraibu wa dini ni mbaya sana..kwa hatua aliyofikia huyo kijana naweza sema its too late..huwa huwaambii kitu hao,sana sana atakuchinja tu...yeye apige goti amshukuru Mungu kwa kila kitu,ofcoz katimiza jukumu lake kama mzazi!
 
Dini ya uislamu unamfunza muumini wake kumtii mola wake na mtume wake na kuwafanyia wema wazazi wawili (ikiwemo kuwatunza uzeeni kwao).
Dini ya uislamu inasisitiza wauminini wake kufanyakazi kwa bidii na kwa uadilifu.

Hapa nimeona tatizo lililoainishwa ni uvaaji wa kanzu kazini na kufuga ndevu. Huu sio ugaidi kwa mujibu wa uislamu au katiba ya nchi.
Hapa naona uelewa wa kijana kuheshimu mwongozo wa mavazi ya kitabibu ulikua mdogo, na kwa menejimenti ya hospitali huenda reaction yao kwa kijana ilikua kubwa na ya kumhukumu zaidi.
Huenda pia bada ya apo kijana akatengwa naye akaamua kuondoka jumla
na nafasi ya mzazi naye ikiwa laana na maneno makali ((kijana kaamua kupotea kabisa)).

Ni ushauri wangu kulingana mada jinsi ilivyowasilishwa.
[emoji1666][emoji1666] Naam ndugu yangu katika imani umetoa maoni Bora sana ..watu wasichokijua uislamu aujakataza kusoma elimu dunia uyo kijana no matter atafanya nini bila kukaachini na mama yake wakawekana sawa amna kitu atakachokifanya kwenye dunia hii kitakachokuwa na baraka as long as mama yake ana lalamika kitu pekee ambacho muislamu atakiwi kumsikiliza mama yake ata kama akisema ni kumuasi allah pekee ..
 
Huyo dada yako ndio mwenye matatizo, anamfuatia mnoo mtoto wake ambaye kwa sasa ni mtu mzima.
Kijana ameamua kushika dini yake hiyo imekuwa nongwa, vipi angekuwa teja, mlevi au shoga?
Sasa hapo kunatofauti gani na uteja au ushoga?
Dini inayokutenga na jamii hasa familia ni zaidi ya uteja.
 
Back
Top Bottom