Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu. Uzuri wa uislamu ni dini ya kati na kati. Mada imewasilishwa kwa scenario ya tatizo kutobainishwa kwa kina.Wengi wanamlaumu Mama wa kijana. Yule Mama hana makosa,alitegemea mwanae atakuwa na maendeleo aje kumsaidia kulea wenzie na sio dhambi ndugu kusaidiana. Dini ni nzuri ukiishika kiasi
Hawa jamaa wanajiitaga "Jidi boys" advance ndio niliona kumbe waislamu ni washenzi wao kazi kujitenga kuanzia kusoma mpka michezo na ikitokea kuna muislamu anaandama na mkristo hafu darasani ni kipanga atapigwa vita mpka basi kwmba asome na waislamu wenzie pekee
Kipindi cha mock form six kulikuwa na possible Hahaha huwezi amini hawa watu walikuwa wanaamshana wenywe kwa wenywe usiku nilikuwa deka la Chini jamaa yangu kipanga akaamshwa deka la juu akawasovie maswali kimya kimya.
Shule za A-level zinaharibu sana vijana.....Pugu sec maji shida so jidi kule wana maji ukienda kunya choo cha jidi hafu mkristo utaisoma namba watakuandama mpka ukome......
huyo ameshakuwa gaidi, mark my words. soon atamwona somalia na alshabab.
Kuna dress code katika kila taasisi. Kama shida ni uislam anzisheni mahospitali yenu muwe mnavaa makobazi, kanzu na mindevu mirefu. Tena kuna msemo mzuri " Tumikia kafiri upate ujira wako"Sasa mavazi yana shida gani?, kama kavunja kanuni za kazi wampe barua yenye makosa yake siyo kwenda kushtaki kwa mama.
Hao shida yao ni uislamu tu na si mengine. Angekuwa anavaa rozari inaburuza mpaka chini wala wasingemgusa
Udaktari huu huu wa kusoma kwa milioni 7?
Au ni Clinical officer?
Hivi unaujua Udaktari wewe?.
Anyway, kuna mmoja kaacha ualimu kaenda kijijini kulima na kumtumikia Allah baada ya kuambiwa asifuge mzuzu na head teacher.
Dini ya uislamu unamfunza muumini wake kumtii mola wake na mtume wake na kuwafanyia wema wazazi wawili (ikiwemo kuwatunza uzeeni kwao).
Dini ya uislamu inasisitiza wauminini wake kufanyakazi kwa bidii na kwa uadilifu.
Hapa nimeona tatizo lililoainishwa ni uvaaji wa kanzu kazini na kufuga ndevu. Huu sio ugaidi kwa mujibu wa uislamu au katiba ya nchi.
Hapa naona uelewa wa kijana kuheshimu mwongozo wa mavazi ya kitabibu ulikua mdogo, na kwa menejimenti ya hospitali huenda reaction yao kwa kijana ilikua kubwa na ya kumhukumu zaidi.
Huenda pia bada ya apo kijana akatengwa naye akaamua kuondoka jumla
na nafasi ya mzazi naye ikiwa laana na maneno makali ((kijana kaamua kupotea kabisa)).
Ni ushauri wangu kulingana mada jinsi ilivyowasilishwa.
Je, kwani akimiliki msikiti au madrassa hapati pesa?Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi
Ili kumsaidia, amsafirishe Afghanistan. Kule atakutana na wenzakeDada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa garama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 ilikata ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehem nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hosptitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kujiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu,Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mafanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi
Sister ikabidi amuite Dogo amkanye kuwa Uongozi pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lizima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hama maisha ya kueleweka tena na ukiangali amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomeaha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba amepanga
😂😂😂yaani huyo muombee asikutane na wakala Wa Al shabab imeisha hiyo
Wapi kwenye utabibu wamekataza mhudumu kufuga ndevu?Kuna dress code katika kila taasisi. Kama shida ni uislam anzisheni mahospitali yenu muwe mnavaa makobazi, kanzu na mindevu mirefu. Tena kuna msemo mzuri " Tumikia kafiri upate ujira wako"
Yaah mkristo akilewa sana dini anakua kama kichaa kutembea na mafuta ya upako…mwislam akilewa sana dini anakuwa Gaidiyaani huyo muombee asikutane na wakala Wa Al shabab imeisha hiyo