Pleaaaaase!Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Anae mmoja alizaa na mke wake wa kwanza ambaye ni mtoto wa hashimu lundenga,Huyo Gadna ana mtoto hata wa kusingiziwa?
Anae mmoja alizaa na mke wake wa kwanza ambaye ni mtoto wa hashimu lundenga,
Hashimu lundenga mwanae alikuwa kaolewa na gadna, lundenga ni baba mkwe.Mkuu sijaelewa hapo naomba ufafanuzi yaan ni Mtoto wake halafu ni Mtoto wa hashimu lundenga kwamba Mtoto ana baba wawili au?
Kuna maswali yanakera. Ulizia kinyesi ujibiwe choo. Safi sana JideView attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Marioo kivipi wakati jamaa anapiga kazi ClaudsNaona mnampa kampani Marioo Gardner
Kama huwezi kumeza hakuna haja ya kuwa katika mijadala. Jibu la JD linaonyesha uwalakini wa ukomavu katika public kwa public figureJibu maridhawa kabisa hilo.
Maana sie wengine tungetukana kabisa
Kwako sawa bali kwa public figure ni majangaUkiuliza usenge tegemea kujibiwa usenge