Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Pleaaaaase!
Ze ndi! ndi! ndi! Ha ha ha
 
Mkuu sijaelewa hapo naomba ufafanuzi yaan ni Mtoto wake halafu ni Mtoto wa hashimu lundenga kwamba Mtoto ana baba wawili au?
Hashimu lundenga mwanae alikuwa kaolewa na gadna, lundenga ni baba mkwe.
 
Jaydee hawezi pata utulivu wa maisha bila Gardner. Haunting goes on.
 
Jibu maridhawa kabisa hilo.

Maana sie wengine tungetukana kabisa
Kama huwezi kumeza hakuna haja ya kuwa katika mijadala. Jibu la JD linaonyesha uwalakini wa ukomavu katika public kwa public figure
 
Back
Top Bottom