Pleaaaaase!Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Ze ndi! ndi! ndi! Ha ha ha