Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaji mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwahi kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kuniambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa akamwacha.

Nmeangalia angalia humu ndani mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.

Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfahami naomba details zake. Sitaki ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfahamu gudume anipe faili lake.

Lakini kama kuna mwanaume mwingine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kike peke yake.

So anapenda ubabe flani hivi na anajiamini sana ila akichimbwa biti kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nilimchapa kibao.

Nilishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
 
Kimsingi huyo anataka akusumbue kwa sababu naona hana sababu ya msingi hamuache yule mwanaume wake wa kwanza
 
nimetajwa sana huku. Mimi sidhan kama ndo nayaweza manungayembe. kama lidada lako limetulia haina shida ila isiwe nalo halina utulivu. mimi mbona mpole sana.. chizi nadhan ukiaanza kutumia dawa utapata maarifa kuwa mimi si mkorofi. ni mtu wa dini sana.. mlete dada yako nihangaike naye hata kwa mwezi mmoja tu. haina shida. na kama kuna mwingine pia ana dada yake amlete tu NASEMAAJE HAPA NIHANGAIKE NAYE.
 
MIJANA JIKE YA hivyo ipo dawa yake dada kama huyo ni kumpiga mimba double double yaani akijifungua tu unamdunga nyingine. kama tano hivi mfululizo... nakwambia ananyooka kama rula na heshima inarudi. hao majamaa zake wanamstahi sana. na IMEANDIKWA UKIMSTAHI MKE HUZAI NAYE.
Mwenye tabia yake haachi mpaka atakapojitambua Mwenyewe .Sio kwa kuzalishwa
 
Nipe mimi, wewe nakuja inbox.
 
GuDume anaweza kuwa mbabe lakini je huyo dada yako atependa hayo mapengo yake...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…