Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

unataka umpe huyo wa kwenye avatar yako? acheni kunibania wadau mbona wengi wanaonekana kuwa na chuki na mimi nisipewe hili zali la mentali? we unaamua kukimbiza kabisa hii issue ikawaangukie wana CCM wenzio? acha hizo mshkaji wangu.

Mtafutie mwanaCcm yeyote humu, atampoza tu
 
PROMOTION AT WORK
UMESHINDWA KUMTAFUTIA HUKO MTAANI KWAKO UNAKUJA HUKU AU HUYO DADA YAKO NI DOMO.ZEGE AU SI ATONGOZE MWENYEWE KAMA HATONGOZWI, HUKO MTAANI ANAPOISHI HAMNA WANAUME AMA HUKO KAZINI KWAKE HAMNA WANAUME ..KWANINI MWANAUME UNAKUA KUWADI KWA DADA YAKO ...MNAAIBISHA JINSIA YA KIUMENI ..THAT IS HER BUSINESS NOT YOURS
ACHA UKUWADI NA ACHA KUWAPA WATU PROMO ZA KIJINGA
 
ha ha ha.... mimi ni wa musoma mura... hiro rimwanamke riretwe kwangu tu nirishughurikie.. mi nitarara naro mbere.

mpeleke kwa wanaume wa musoma nasikia huko hakuna love story kwa wanawake!!!
 
ha ha ha.... mimi ni wa musoma mura... hiro rimwanamke riretwe kwangu tu nirishughurikie.. mi nitarara naro mbere.
ayaaaa!! kumbe wewe ni wa kanda maalumu!!!! basi mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
nasikia wewe ndo mpinzani wangu humu ndani... angalia sana muda si mrefu NISSAN nyeupe itaanza kukufutailia. issue za mademu wakal wakali niachie mimi wewe deal na mambo mengine.
Ha ha ha ha ha ha ha.....Mkuu bhana!
 
MURA SASA UNAINGIA MUSOMA/MARA" JIHADHARI. huyo dada aletwe tu... unajua baadhi ya wanaume dar wanatuangusha sana. mimi kila baada ya miezi miwili narudi musoma wazaz wanataka wakanikague kama nimeacha asili au vipi so naenda kunoa makali. nisiwe kama wale wanaume ambao wananyanyaswa na wake zao.

ayaaaa!! kumbe wewe ni wa kanda maalumu!!!! basi mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.

Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.

Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.

Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
Baba nkabizi iyo mama
 
Aiseee kuna raia wanajua kucheza na akili za watu[emoji23],hapa mshikaji kaja na Id nyingine,GuDume acha mambo yako bhana
 
MIJANA JIKE YA hivyo ipo dawa yake dada kama huyo ni kumpiga mimba double double yaani akijifungua tu unamdunga nyingine. kama tano hivi mfululizo... nakwambia ananyooka kama rula na heshima inarudi. hao majamaa zake wanamstahi sana. na IMEANDIKWA UKIMSTAHI MKE HUZAI NAYE.
Labda awe mshamba
 
MIJANA JIKE YA hivyo ipo dawa yake dada kama huyo ni kumpiga mimba double double yaani akijifungua tu unamdunga nyingine. kama tano hivi mfululizo... nakwambia ananyooka kama rula na heshima inarudi. hao majamaa zake wanamstahi sana. na IMEANDIKWA UKIMSTAHI MKE HUZAI NAYE.
Labda awe mshamba
 
Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.

Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.

Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.

Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
Ananifaa mm mi mwenyewe sipendi dem mpole napenda kupelekana ndo firaha yangu
 
najaribu kukuheshimu hivyo hivyo sababu mama yangu alinifundisha kuwa niwachukulie watu kama walivyo. lakini aniusia kuwa wanawake wengi wanaojifaham huambatanisha mambo mazuri na wao.na wapumbavu hujiambatanisha na mambo mabaya. nmeshtuka kuwa unajiita stable woman but unaonekana kuwa so unstable mentally . sikulaumu. kama nlivyosema najaribu tu kuendelea kukuheshimu.
Mmh kum kuadia dada yako nayo ni tabia ya kike! Mleta mada we ni jinsia gani?
 
Hata hawa jamaa zangu wangemuweza dadaako bila shida
cc brigedia mafia na general galadudu
 
Back
Top Bottom