Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

kuna jamaa mmoja fala. nimempa namba kampigie kaulizwa namba umetoa wapi kasema "nimepewa na kaka yako" kuna majamaa yana akili fupi sana. mkikaa humu mnajifanya wanaume kumbe ni hovyo tu. sitoi tena namba .kwa aliye serious namfanyia interview namwelekeza ofisin kwa sister. yeye mwenyewe aende akajinadi.pumbavu kabisa... mtu unampa namba anaulizwa maswali anajikuta anasema hata siri za huku. sister kaniuliza nimemwambia sijawah mpa namba yake mtu yeyote of course kaniamini. watoto wadogo kiakili piteni mbali na huu uzi.
 
kifinga au ki finger? kwa nini umejiita hivyo dada? ilikuaje ukawa na jina hilo kidole kidogo si ndiyo? we unaishi wapi mrembo? umeshapata breakfast? tungekuja kunywa supu ya samak hapa au kuku wa kienyeji unasemaje?
ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Hivi yule Jamaa anaejiita General Galadudu yupo humu??
 
Ndugu yangu ,,unataka kumuua mtoto Wa watuu,,Huyo dadio ni kama malkia Wa nyuki,,akihitaji kupandwa anatoka nje ya mzinga na kupaa juuu ,,Dume lenye nguvu linamfuata na kutaka kumpanda likimaliza tuuu linakufa,,,sasa Dada ako mbabe akipata mwanaume tuu ujue Huyo kidume lzm afee
 
Nyie ni watu wa TaRiMe? Amezoea vitasa? Okey yupo mtu hataki chochote ktk Mali zake Ila ni chizi zaidi yake
 
Kwa nn unahangaika na dada yako mtu mzima???nakushauri fanya tu mambo yako sister ataamua mwenyewe mstakabari wa maisha yake
 
Kuna sister tupo naye ktk family inashangaza sana. Ni mzuri ana kazi na anaishi kwake. Si malaya ila nmemsoma anahitaj mwanaume mbabe na mwenye kujiamini. Aliwah kuwa na mwanaume mmoja ambaye alimpenda sana after sometime akaja kunambia yule mwanaume amepoa sana. Si mwanaume wa kiafrika. Cool mpaka anaboa.akamwacha.

Nmeangalia angalia humu ndan mmeona kuna jamaa anaitwa GuDume nani anamfaha huyu jamaa? Ili nimuunganishe na sister ikiwezekana amzalishe tu ili dada aache dharau kwa wanaume.

Mwenye kufahamiana na gudume au mwenye kumfaham naomba details zake. Sitak ajielezee yeye mwenyewe maana anaweza kuweka na masala kwenye chai yake. Naomba kwa anayemfaham gudume anipe fail lake.

Lakini kama kuna mwanaume mwngine ngangari aweke hapa details zake na ushahidi. Huyu sister hapend love stories na utozi. Ni lidada lizuri ila amekua na sisi wanaume watano wa kile peke yake. So anapenda ubabe flan hivi na anajiamini sana.ila akichimbwa bit kali anaogopa. Mi mwaka jana tu nlimchapa kibao. Nlishangaa alikuja kuniomba msamaha baadaye na kusema anajisikia raha amepata kaka wa nguvu. Dume hasa. Nikakumbuka stories za gudume.
Hakuna kaka anayependa dadaake ateseke. Kama umeona gudume anafaa, basi sawa
 
nimetajwa sana huku. Mimi sidhan kama ndo nayaweza manungayembe. kama lidada lako limetulia haina shida ila isiwe nalo halina utulivu. mimi mbona mpole sana.. chizi nadhan ukiaanza kutumia dawa utapata maarifa kuwa mimi si mkorofi. ni mtu wa dini sana.. mlete dada yako nihangaike naye hata kwa mwezi mmoja tu. haina shida. na kama kuna mwingine pia ana dada yake amlete tu NASEMAAJE HAPA NIHANGAIKE NAYE.
Hongera kwa kuonekana una sifa za kumtuliza dada wa mtu
 
KUNA WATU WANANICHUKIA SANA HUMU JAMIIFORUMS. NAWAONA TU
Hakuna anae kuchukia mkuu; watu wameona hauko kolifaid, maan huwa ukipigwa ushuzi kule ofisini unakimbilia huku. Tehe tehe teh.

Vipi leo bidada hajaja kukupiga ushuzi?
 
MURA SASA UNAINGIA MUSOMA/MARA" JIHADHARI. huyo dada aletwe tu... unajua baadhi ya wanaume dar wanatuangusha sana. mimi kila baada ya miezi miwili narudi musoma wazaz wanataka wakanikague kama nimeacha asili au vipi so naenda kunoa makali. nisiwe kama wale wanaume ambao wananyanyaswa na wake zao.
Vipi wale wanaopigwa ushuzi?
 
dada kwa heshima kabisa.. kama unataka kunitaja jina langu itafutie sababu nzuri. kwa wanaonifaham wanafaham mimi ni nani. ulishaacha ku recruit watu wa kuwapeleka GRoup lako la Passion? wanawake mkawafundishe tabia mbaya? hala hala mama.... mimi ungeniacha hivi hivi nlivyo naipenda ID yangu hii moja kama nlivyo na nanii moja. chonde chonde nakuomba nisije nikayasema mengi. usiliamshe dude.
Si ajabu wewe ndio GuDume mwenyewe
 
ha ha ha... sasa nlikuwa sijui kuwa nayo ile ni ishara.. kwa kuwa mmeshanambia subirini mrejesho sasa. nadhan huyu dada aliyekuwa ananifanyia hivi ataacha kabisa. nlikuja kuomba ushauri kwenu waungwana na wataalam wengi mmenipa go ahead.......
Hakuna anae kuchukia mkuu; watu wameona hauko kolifaid, maan huwa ukipigwa ushuzi kule ofisini unakimbilia huku. Tehe tehe teh.

Vipi leo bidada hajaja kukupiga ushuzi?
 
nme ku expose? ulianza wewe kunikosea heshima. nami mtu anaponikosea heshima huwa namchunguza kwa dakika chache kujua udhaifu wake then nauweka hadharani. so ulianza kunikosea kunisingizia mambo ya kipuuzi ikabidi nikujibu kwa kadiri ya ninavyokufaham.

Mkuu ninikuheshimu lugha uliyo tumia sio sahihi nadhani tukiheshimiana inaleta undugu zaidi kuliko kuandika maneno makali kiasi hiki
 
Weka contact zake humu tum convert huyoo jini mahaba utafurahi mwenyewe na nafsi yako.. [emoji115]
 
Back
Top Bottom