Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

kuna jamaa mmoja fala. nimempa namba kampigie kaulizwa namba umetoa wapi kasema "nimepewa na kaka yako" kuna majamaa yana akili fupi sana. mkikaa humu mnajifanya wanaume kumbe ni hovyo tu. sitoi tena namba .kwa aliye serious namfanyia interview namwelekeza ofisin kwa sister. yeye mwenyewe aende akajinadi.pumbavu kabisa... mtu unampa namba anaulizwa maswali anajikuta anasema hata siri za huku. sister kaniuliza nimemwambia sijawah mpa namba yake mtu yeyote of course kaniamini. watoto wadogo kiakili piteni mbali na huu uzi.
 
kifinga au ki finger? kwa nini umejiita hivyo dada? ilikuaje ukawa na jina hilo kidole kidogo si ndiyo? we unaishi wapi mrembo? umeshapata breakfast? tungekuja kunywa supu ya samak hapa au kuku wa kienyeji unasemaje?
ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Hivi yule Jamaa anaejiita General Galadudu yupo humu??
 
Ndugu yangu ,,unataka kumuua mtoto Wa watuu,,Huyo dadio ni kama malkia Wa nyuki,,akihitaji kupandwa anatoka nje ya mzinga na kupaa juuu ,,Dume lenye nguvu linamfuata na kutaka kumpanda likimaliza tuuu linakufa,,,sasa Dada ako mbabe akipata mwanaume tuu ujue Huyo kidume lzm afee
 
Nyie ni watu wa TaRiMe? Amezoea vitasa? Okey yupo mtu hataki chochote ktk Mali zake Ila ni chizi zaidi yake
 
Kwa nn unahangaika na dada yako mtu mzima???nakushauri fanya tu mambo yako sister ataamua mwenyewe mstakabari wa maisha yake
 
Hakuna kaka anayependa dadaake ateseke. Kama umeona gudume anafaa, basi sawa
 
Hongera kwa kuonekana una sifa za kumtuliza dada wa mtu
 
mzizi anawza mtuliza kwa utaalamu
 
KUNA WATU WANANICHUKIA SANA HUMU JAMIIFORUMS. NAWAONA TU
Hakuna anae kuchukia mkuu; watu wameona hauko kolifaid, maan huwa ukipigwa ushuzi kule ofisini unakimbilia huku. Tehe tehe teh.

Vipi leo bidada hajaja kukupiga ushuzi?
 
Vipi wale wanaopigwa ushuzi?
 
dada kwa heshima kabisa.. kama unataka kunitaja jina langu itafutie sababu nzuri. kwa wanaonifaham wanafaham mimi ni nani. ulishaacha ku recruit watu wa kuwapeleka GRoup lako la Passion? wanawake mkawafundishe tabia mbaya? hala hala mama.... mimi ungeniacha hivi hivi nlivyo naipenda ID yangu hii moja kama nlivyo na nanii moja. chonde chonde nakuomba nisije nikayasema mengi. usiliamshe dude.
Si ajabu wewe ndio GuDume mwenyewe
 
ha ha ha... sasa nlikuwa sijui kuwa nayo ile ni ishara.. kwa kuwa mmeshanambia subirini mrejesho sasa. nadhan huyu dada aliyekuwa ananifanyia hivi ataacha kabisa. nlikuja kuomba ushauri kwenu waungwana na wataalam wengi mmenipa go ahead.......
Hakuna anae kuchukia mkuu; watu wameona hauko kolifaid, maan huwa ukipigwa ushuzi kule ofisini unakimbilia huku. Tehe tehe teh.

Vipi leo bidada hajaja kukupiga ushuzi?
 
nme ku expose? ulianza wewe kunikosea heshima. nami mtu anaponikosea heshima huwa namchunguza kwa dakika chache kujua udhaifu wake then nauweka hadharani. so ulianza kunikosea kunisingizia mambo ya kipuuzi ikabidi nikujibu kwa kadiri ya ninavyokufaham.

Mkuu ninikuheshimu lugha uliyo tumia sio sahihi nadhani tukiheshimiana inaleta undugu zaidi kuliko kuandika maneno makali kiasi hiki
 
Weka contact zake humu tum convert huyoo jini mahaba utafurahi mwenyewe na nafsi yako.. [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…