umaskini unamfanya akose msimamo!!
kama keshapokea funguo basi huyo keshasaliti ndoa yake
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
Nadhani kama bado hajamegwa asithubutu kuambiwa kichwa tu au romance tu! Yeye aseme NO and big NO. Kama keshamegwa basi kuanzia sasa aache kabisaa na amweleze huyo bosi wake kuwa sasa mchezo basiiiii!!!! Lakini huyo dada yako ni material things lady....na kwa speed hiyo madreva taxi na mafundi gereji watamtumia vizuri sana maana ataanza kuhitaji fedha za kutunza na kuliendesha gari lake maana keshazoea vya anasa asivyofanyia kazi halali!!!!
hayo mambo ya kawaida hapa dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa saccos na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (ma-director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa
kwa tanzania ukimwi utaisha kwa neema za mungu tu - ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!
amani iwe kwenu
sorry jina ni Ngonzi sio Ngozi majibu nitayaleta baada ya kumshauri hapa hapa ili mjue ushuri wenu umefanya kazi kiasi gani ahsanteni pia kwa ushuri yoote nimyazingatia nitamueleza kama wengi mliyvoshauri
Bht umefika mama? Mbona naona kuna binti ananitolea macho sans hapa?
kitakacho fuata ni yule mume akijifanya kufuatilia , atapigwa sumu au kutegeshewa majambazi/ajali. Hivi vipo sana bongo hii believe it or not!
Na TIGO katoa........
are you crazy shit or what????????
Dada yako yuko njia panda???? Hafai hata kuwa kwenye hiyo ndoa. Anafahamu maana ya ndoa? Na kama anampenda mume na familia yake huko nje anatafuta nini???
Im sorry but i think ana element za uma***ya..... Huwezi kumpenda mumeo na ukamwachia mwanaume mwingine aukuchambue kama karanga..... Na hasira ya mungu isije waka juu yake kwa kuisaliti ndoa.... Hayo magari ni bullshit!!!!
Au gari ndio lamaana kuliko ndoa yake????? Vinakujaga na ukimwi hivyo au hajui??? Mwambie anatakapo lala na huyo mwanaume akapime. Believe me or not..... Gari haliji hivi hivi mtuwangu...
kabisa kabisa, coz nina uwezo wa kuwa na langu bac hilo lingine clihitaji, pili bado naipenda sana ndoa yangu so nipo tayari kuiharibu/ipoteza....umenimanya?
Na TIGO katoa........
Umeonaaaeeee!!
Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.
dunia ya sasa ilivyo utashangaa kukuta mume nae anajua ila kauchuna anatamani hilo gari....
hii dunia hiii..................
umasikini ugonjwa mbaya saaaana......
ufakiri ni kama ukafiri.....vitabu vya dini vinasema........