Dada yangu na boss wake

Dada yangu na boss wake

Huyo Dada kwa kweli anatudanganya sisi kama watoto wadogo. Kwanza atakuwa ameshaliwa zamaniiii!!!!
We mpaka boss wako akupe gari, na yeye anapokea...ni hatua ambayo ilishaanza mbali sana huko nyuma.... Asidanganye wana JF.

Kwa kumsadia tu, na kama anataka kweli kuwa huru na usumbufu wa huyo boss wake, arudishe gari...
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha


Isije ikawa ni wewe mwenyewe ila unaogomba kuitwa mchimba madini humu???
 
Nadhani kama bado hajamegwa asithubutu kuambiwa kichwa tu au romance tu! Yeye aseme NO and big NO. Kama keshamegwa basi kuanzia sasa aache kabisaa na amweleze huyo bosi wake kuwa sasa mchezo basiiiii!!!! Lakini huyo dada yako ni material things lady....na kwa speed hiyo madreva taxi na mafundi gereji watamtumia vizuri sana maana ataanza kuhitaji fedha za kutunza na kuliendesha gari lake maana keshazoea vya anasa asivyofanyia kazi halali!!!!

Nimegonga kabatani kabisa kwa vyointi vilivyomwagwa hapa na hapo kwenye bold umenikumbusha mbali sana 1986! :becky::becky:
 
hayo mambo ya kawaida hapa dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa saccos na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (ma-director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa

kwa tanzania ukimwi utaisha kwa neema za mungu tu - ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!

amani iwe kwenu

kitakacho fuata ni yule mume akijifanya kufuatilia , atapigwa sumu au kutegeshewa majambazi/ajali. Hivi vipo sana bongo hii believe it or not!
 
sorry jina ni Ngonzi sio Ngozi majibu nitayaleta baada ya kumshauri hapa hapa ili mjue ushuri wenu umefanya kazi kiasi gani ahsanteni pia kwa ushuri yoote nimyazingatia nitamueleza kama wengi mliyvoshauri


Kale kabatani kwako wamekafuta but hia yu a seknyuuu veri mach
 
kitakacho fuata ni yule mume akijifanya kufuatilia , atapigwa sumu au kutegeshewa majambazi/ajali. Hivi vipo sana bongo hii believe it or not!

Tupe kisa cha mfano!

Ndo maana huko juu mie nilisikitika sana kuhusu hali ya semegi; HAJUI? ANAJUA? Kama anajua anajisikiaje anaishije! aah yaani maswali millioni!

Wale wakristo wanamamombi tuwaweke wanandoa hawa kwenye uso wa Mungu awarehemu dhahama iliyowafika; but sijaua ndoa yao ilifungwa wapi Ngonzi?
 
are you crazy shit or what????????
Dada yako yuko njia panda???? Hafai hata kuwa kwenye hiyo ndoa. Anafahamu maana ya ndoa? Na kama anampenda mume na familia yake huko nje anatafuta nini???
Im sorry but i think ana element za uma***ya..... Huwezi kumpenda mumeo na ukamwachia mwanaume mwingine aukuchambue kama karanga..... Na hasira ya mungu isije waka juu yake kwa kuisaliti ndoa.... Hayo magari ni bullshit!!!!

Au gari ndio lamaana kuliko ndoa yake????? Vinakujaga na ukimwi hivyo au hajui??? Mwambie anatakapo lala na huyo mwanaume akapime. Believe me or not..... Gari haliji hivi hivi mtuwangu...

sawaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Ngonzi huyo dada huyo taratibu tu atakwambia uchafu wake wooooooooooooooooote alofanya n ahuyo firauni mwenzie!!!! hapo kaficha kitu kikubwa tu ndani ya maelezo yake kwako.......
 
jamani jamani shangazi maji yamemfika rohoni ndio anasema :yuck:
 
kabisa kabisa, coz nina uwezo wa kuwa na langu bac hilo lingine clihitaji, pili bado naipenda sana ndoa yangu so nipo tayari kuiharibu/ipoteza....umenimanya?

aah wapi, kakumanya ndili ayu!
 
dunia ya sasa ilivyo utashangaa kukuta mume nae anajua ila kauchuna anatamani hilo gari....
hii dunia hiii..................
 
Na TIGO katoa........

kweli Ngonzi ni mdogo ndo maana kadanganywa!!!

haingii akilini eti boss (most probably ni mume wa mtu) akupe tu gari anakutongoza....aaah wapi, atakuwa kaliwa vingi dadaake mtu!!!

''nothing goes for nothing''...........
ampe tu afu ajifikirie jibu atatoa siku nyingine...............my foot!!
 
umasikini ugonjwa mbaya saaaana......
ufakiri ni kama ukafiri.....vitabu vya dini vinasema........
 
Umeonaaaeeee!!

Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.

una mapepo wewe!
 
umasikini ugonjwa mbaya saaaana......
ufakiri ni kama ukafiri.....vitabu vya dini vinasema........

It is expensive to be poor...nasikia ni Maneno ya Mwalimu; hebu ona umasikini umemfanya aiuze furaha ya kweli na matumaini yake ya baadaye kwa kagari si ajabu ka-nadia ambako hata kule ukweni Kimanzichana hakafiki; kweli akili ni nywele na hizi mnazobandika ndo zinawapa maruhani kabisaaaaaaa; ivi ni gari gani kahongwa? Isije kuwa Vogue............
 
Back
Top Bottom