Dada yangu na boss wake

Dada yangu na boss wake

Mwambie dadakoaendelee ru.....then unam-blackmail baadae.....atakuwa anakupa hela milele. Unakuwa kama sio mjasiriamali.
Mjini hapa! Mi hapo nshaona pesa wewe unaona nini? Biashara hiyo.....changamka.

Oyaaaa kweli mnakubali aue familia uache watoto yatima wateseke kwa ajili ya pesa. Dunia imekwisha jamani huyo bosi wake inawezekana keshajijua ana NGOMA sasa anataka aanze kuusambaza. NGONZI mshauri apate nguvu za kusema NO, bahati ameshakwenda several courses anaweza kuanza kutafuta sehemu nyingine!
 
Ukisikia mwanaume unakufa bila kupewa sumu wala kipigo ndio huku. Fedha inatumika kama fimbo hapa.
 
Mmenifariji wana JF. Kumbe wanandoa wengi, hata kina mama mnachukia tabia za namna hii.
Huku maofisini wakware wengi hata sio mabosi peke yao, wengine vihela vya kuunga unga tu unakuta wanapelekesha wake za watu, inaniuma sana nahofia hata wangu anaweza kunaswa. Imekuwa kama normal life style, loh!!
 
Dada yako arudishe hy gari na kibarua kiwe mwisho kama anaipenda ndoa yake na watoto.. Vinginevyo, MAJUTO ni MJUKUU
 
Msimkatishe tamaa bandugu. Hivi angaza si bado ipo? Aka do the needful pale aone kama hajaliyumbiwa. Manake: gari+ kumegana + liyumba = ????

hhehehhe hiyo buluu inaweza ikasaidia akarejesha gari la watu. wapi kamanda geoff?
 
Mmenifariji wana JF. Kumbe wanandoa wengi, hata kina mama mnachukia tabia za namna hii.
Huku maofisini wakware wengi hata sio mabosi peke yao, wengine vihela vya kuunga unga tu unakuta wanapelekesha wake za watu, inaniuma sana nahofia hata wangu anaweza kunaswa. Imekuwa kama normal life style, loh!!

Kamsimulie hiki kisa A-Z uone reaction yake! Utajua tu kutokana na anavyochangia! Haafu tuletee hizo reaction hapa
 
Whoever you are facing a crisis, just STOP, LOOK, Listen and THINK what would JESUS do..... Ndio nguzo pekee.
 
hii kazi kwli

dada yako ni malaya hilo halina ubishi
kupelekwa koz haina shida
alipotamkiwa laivu alipaswa kukataa mara moja
umaskini unamfanya akose msimamo!!

kama keshapokea funguo basi huyo keshasaliti ndoa yake
 
huyo bosi sio **** wa kutoa gari kabla hajapewa mambo, kuna possibility kubwa sana alishatoa vyote ila hawezi kukwambia kwamba kashatoa. uila tu inawezekana sasa hivi anafeel guilt tu. sorry, ndo nionavyo mie.
 
Nadhani kama bado hajamegwa asithubutu kuambiwa kichwa tu au romance tu! Yeye aseme NO and big NO. Kama keshamegwa basi kuanzia sasa aache kabisaa na amweleze huyo bosi wake kuwa sasa mchezo basiiiii!!!! Lakini huyo dada yako ni material things lady....na kwa speed hiyo madreva taxi na mafundi gereji watamtumia vizuri sana maana ataanza kuhitaji fedha za kutunza na kuliendesha gari lake maana keshazoea vya anasa asivyofanyia kazi halali!!!!
 
In short ni kwamba dadako ni cheap sana in materials hivi jamani hayo magari mbona siku hizi ni rahisi tuu kupata mabenki wameturahisishia sana unachukua mkopo unapata gari unalipa taratibu...ushauri anaouomba hapa ni wa nini!! kama anaipenda ndoa yake! aachane na mambo ya kurukia kisa kamuona fulani ana gari basi na yeye kapewa gari kaona ni dili....mmmh kumbukeni yule mkulu wa BOT alikuwa anawahonga wanawake na magari tena mekundu kashiria kifo sasa naye aendelee cha moto atakiona! namshauri aachane na huyo bosi kama anamletea za kuleta arudishe gari yake akimletea fujo atamfukuzisha kazi aende kustaki mahakama ya kazi sheria zipo zinatulinda....Tanzania hii kila mtu ana haki.....ila aache ulimbukeni wa materials..atakuja na wa kumpa ndege naye atamkubali....
 
huyo bosi sio **** wa kutoa gari kabla hajapewa mambo, kuna possibility kubwa sana alishatoa vyote ila hawezi kukwambia kwamba kashatoa. uila tu inawezekana sasa hivi anafeel guilt tu. sorry, ndo nionavyo mie.

possibility moja inazaa possibility nyengine, inabidi akapime na ngoma haraka ez suni ez posibo!
 
Huyo boss atakuwa ana mke, hivyo anamtaka huyu mdada kwa matumizi ya tigo tu, kwani kwa mke wake halali hawezi kuomba/tamka wala kupewa.
 
Ngozi tuletee majibu ya dadaako!
sorry jina ni Ngonzi sio Ngozi majibu nitayaleta baada ya kumshauri hapa hapa ili mjue ushuri wenu umefanya kazi kiasi gani ahsanteni pia kwa ushuri yoote nimyazingatia nitamueleza kama wengi mliyvoshauri
 
Nadhani, asikubali kabisaa, maana yawezekana ndiyo mwisho wa maisha yake na wala siyo ya ndoa tu. Kwani bosi amemwona yeye tu? Ameshawaona wengi na ukweli ni kwamba ameshawamega kihivyo hivyo. Cha muhimu ni kwamba dada yako atoe angalizo kwenye kituo cha polisi na kwa lawyer wake, incase huyo bosi atamfanyia ubaya wowote yeye au mume wake wapate pa kuanzia, lakini ni vizuri amwambie bosi wake kuwa kwa sasa hayupo tayari kumegwa naye. Time will always tell, she will uncover something fishy not in a long run!!!!!!

USIDHANI... Mwambie asikubali.. Ukidhani atakuwa anafikiria mara mbilimbil Mkuu..
 
Umeonaaaeeee!!

Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.

Duu balaaa!!
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha


Mwambie akamwambie boss wake BABA HATAKI.
 
Back
Top Bottom