OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu nipe muongozo kidogo hapo sijaelewa hapa ni kuhus nchi ya Canada? Na kupata chuo unapataje mkuu? Link Gani yenye vyuo ambavyo waweza kuomba na having mambo mengi mara English language certificate, mara DRE, mara ILETS sijui ..na mambo kama hayo maana hapa ndio mikwamo inaanzagaUtagharamia application fees mara nyingi ni $100.
Kutuma documents zako, kama wanataka original then itabidi utumie DHL au FEDEX.
Visa yenyewe sijui sasa ni shingapi.
Bank statement usiwaze zinachakachuliwa tu.
Na nauli. Ukifika kiwanja hamna kinachoshindikana, watu wanafika leo na asubuhi wanaamkia box hata njia bado hawaijui.
Kila la kheri.
Pole sana dada yangu, nchi za kiarabu ndio zingekufaa zaidi, na kutimiza malengo yako, na sio nchi za ulaya na amerika utaishia kubeba mabox, huko hapafai ni risk kwako piaa, na isitoshe nchi za kikafiri hizo na wewe ni binti wa kiislamu na huko uendapo hakuna ndugu ambae atakustiri kwake, utaishia kutangatanga mwisho wa siku wajomba wanapita na wewe,,, Allah atafanya wepesi ukhuti.
Kule uarabuni ndio pangekufaa zaidi endapo wasingezuia wadada wa kazi, mshahara wa housegirl laki 5-6 mpaka 9,,,, wakati hapa kwa kisomo chako sizani kama wangekulipa ata laki 3.
Ushauri wangu, peleka maombi kampuni yoyote hapa kwetu, especially kampuni ya azam, dangote, GSM or vituo vya mafuta,, na usichague kazi ukhuty. Kazi yoyote wewe fanya tu ilimradi iwe na masilahi na ya halali vilevile,, kwa uwezo wa Allaah utapata kazi.
Ushauri wangu,,kama ulaya huna ndugu wa kukupokea na kukuhifazi achananako, fanya hapahapa kalibu na ndugu.
Mkuu arabuni wengine waanatumia kama njia TU ya kutoboa mbele uko, Kuna watu wamefanya hivyo na wamefanikiwa.🤣 🤣 🤣 waarabu wote ndoto zao ni kuishi kiwanja 🇺🇸 au Ulaya. Wakiwa kwao wanakandia ila wakipata nafasi wote wanakimbilia mbele, lini umesikia msomali kazamaia Saudia au arabuni akaacha kwende mbele? Wa Syria na wa Iraq wote wanataka kwenda mbele hawataki kabisa kusikia habari za kupelekwa nchi za ndugu zao that alone should tell you something.
Laki 9 kwa mwezi nayo unaona pesa wakati mbeba box kiwanja anaingiza hiyo kwa wk easily.
Hao unaoita makafiri ndo wanaongoza kwa kuzingatia haki za binadamu, mtu una uhuru wa kufanya chochote na kuwa yeyote kwa kujudi zako tu. Tuambie hata waislam walioenda arabuni wameishia wapi? Mbongo gani kaenda arabuni katoboa zaidi ya kuwa housemaid tu? Kiwanja wabongo kibao wanafanya kazi za maana hata kama walianzia kubeba box.
Aidha nadhani umesikia kilio cha human rights violations nchi za kiarabu. Uliza wadada waliorudi toka Oman na Dubai kama wanataka kurudi tena huko uwasikie.
Tofauti ya mbele na arabuni ni mbingu na ardhi.
waarabu wote ndoto zao ni kuishi kiwanja 🇺🇸 au Ulaya. Wakiwa kwao wanakandia ila wakipata nafasi wote wanakimbilia mbele, lini umesikia msomali kazamaia Saudia au arabuni akaacha kwende mbele? Wa Syria na wa Iraq wote wanataka kwenda mbele hawataki kabisa kusikia habari za kupelekwa nchi za ndugu zao that alone should tell you something.
Unadhani waarabu ni walee wamatumbi washamba washamba wakifika huko marekani wanajiona kama wapo peponi 😁 astaghfirullah
Saudia au arabuni, ni wapi huko tena? 😁 kumbe kuna nchi inaitwa arabuni!!😁 kwa taarifa yako tu huko uarabuni kuna kila aina ya makabila/jamii mbali mbali kutoka afrika, asia, amerika na ulaya wanapiga kazi katika makampuni, maduka n.k, hususani emirates, oman, Qatar, kuwait n.k. kazi za ndani zinafanywa na wadada tuu, wengine wametokea kenya wamesoma lakini wanapiga kazi za ndani na mshahara wanalipwa mkubwa.
Kuhusu haki za binadamu, unataka kusema nchi za kiarabu hakuna haki za binadamu!! Acha uongo kijana, hujaishi huko ndio maana. Kule wanafuata sheria usifikiri kama huku bongo n.k,,,kuhusu mauwaji ya kila mara ya black Americans, je! Ushawahi kusikia nchi za kiarabu watu kutoka mataifa mengine+ blacks wakishutiwa? Endelea kupotosha
Suala la kurudi kutoka hizo nchi, lazima kuna sababu kijana,, sio wajinga wawarudishe.
Tatizo lenu wagalatia wengi wenu mmewakalia kooni waarabu, kila upande mnawachukia, hata kwenye mpira mnaleta ubaguzi 😁 dah!!
Piga uwa garagaza waarabu wapo juu sana.mbali na hilo waarabu wengi wao wana utu, imani, roho nzuri na wakarimu.
Nawapenda sana waarabu, na jamii zote ulimwenguni.
Mkuu arabuni wengine waanatumia kama njia TU ya kutoboa mbele uko, Kuna watu wamefanya hivyo na wamefanikiwa.
Mkuu nipe muongozo kidogo hapo sijaelewa hapa ni kuhus nchi ya Canada? Na kupata chuo unapataje mkuu? Link Gani yenye vyuo ambavyo waweza kuomba na having mambo mengi mara English language certificate, mara DRE, mara ILETS sijui ..na mambo kama hayo maana hapa ndio mikwamo inaanzaga
🤣🤣🤣🤣 muulize mtu yeyote anataka kwenda mbele au uarabuni haijalishi anatokea wapi utapata jibu, case in point huyu dada hapa. We mwenyewe unataka kwenda kiwanja 😂
Mkuu arabuni wengine waanatumia kama njia TU ya kutoboa mbele uko, Kuna watu wamefanya hivyo na wamefanikiwa.
5000$ kwa kupiga deki choo kwenye kampuni ya mafuta ama? Hiyo salary ya 5k-15k$ ni kwa position zipi?😁😁 mishahara wanayolipwa wafanyakazi katika makampuni ya mafuta uarabuni ni mkubwa sana ukilinganisha na marekani/ulaya. Mtu anapiga hadi USD 5000, 15000 na kwendelea per month, and kwa mwezi anafanya kazi 2 weeks, na mbili zingine anapumzika, so anajikuta kwa mwaka anaitumikia kampuni miezi 5. Je marekani wanafanya hivyo? wanawalipeni ngapi ninyi wabeba mabox huko? Mbali na hiyo kazi, je! Kuna kampuni yoyote inamlipa mgeni kiasi hicho cha pesa? Waarabu wana hela mzee, na hawana rasilimali nyingi kama kwetu lakini wanajua kuitumia,, na Mungu amewabariki sana hao watu, kwa ukarimu wao, roho zao, utu na ndio maana Mungu anawainua.
Nimekuelewa sana.kuna siku nilikuwa ninataka kuondoka kama wewe mpaka pass nikawa nayo. Kitu ambacho niligindua hakuna binadamu wa kukusaidia bure, anawaza anakusaidia na yeye atafaidika na nini?Nashukuru sana kwa mawazo yako Kiongozi
Ninashida sana yaan saana mpaka kujitosa kuandika hapa Mtoto wakike sio jambo dogo, kutokana na tafiti ndogo nilizozifanya mitandaoni Asia wanasema Waarabu wanyanyasaji sana na malipo yao ni finyu kupita kiasi, hizo ni tafiti nilizoziona mitandaoni wakisema
Na kwa upande wa Americans opportunities ziko nyingi sana kikubwa ujitume tu na ustick kwenye malengo yako
Na kama ikiwa ngumu kwa America ntaenda ata huko Asia iwe kama starting point kwangu, naweza nikiwa huko nikapata connections za kwenda America na ikawa ni kama sehem ya kutimia kwa Ndoto zangu🙏
Naomba sana MWENYEZI MUNGU amguse mtu anisaidie kwahili na tuandikishiane nikishafika na kuanza kazi Pesa zake zote nimlipe kwa maandishi kabisa ili awe huru na apate amani ya kutodhulumiwa🙏
5000$ kwa kupiga deki choo kwenye kampuni ya mafuta ama? Hiyo salary ya 5k-15k$ ni kwa position zipi?
Salary ya kupiga deki ni sh ngapi? Fanya hivi mbeba box wa marakeni analipwa sh ngapi na mbeba box wa Uae analipwa sh ngapi? Pia hizo position za juu marekani wanalipwa sh ngapi ukifananisha na za Uae (5-15k$).Achana na kupiga deki kijana, hapo namaanisha kwenye position za juu ,,, kupiga deki na kusafisha vyoo wahindi wanazifanya hizo kazi.
Salary ya kupiga deki ni sh ngapi? Fanya hivi mbeba box wa marakeni analipwa sh ngapi na mbeba box wa Uae analipwa sh ngapi? Pia hizo position za juu marekani wanalipwa sh ngapi ukifananisha na za Uae (5-15k$).
Nadhani hiyo itakuwa fare comparison.
Towa ufafanuzi ni Asia sehemu gani na kifanya kazi gani na malipo yakoje ..usije enda muuza mdada wa watu akati bado yupo kwenye hustling.asalam alyekum fatma vp mbn ujatupa feed back kana umepata au
lah...kama umekosa kabsa ipo nafasi ya kuondoka kwenda ASIA ila kama tyr pasapport zako ziko
tyr...sihitaji chvhte kutoka kwako??
utanishukru baadae...!!
Nipo tayr mkuuasalam alyekum fatma vp mbn ujatupa feed back kana umepata au
lah...kama umekosa kabsa ipo nafasi ya kuondoka kwenda ASIA ila kama tyr pasapport zako ziko
tyr...sihitaji chvhte kutoka kwako??
utanishukru baadae...!!
Waarabu wakatumie mdomo wako kama shimo la Choo au sioNipo tayr mkuu
Sio lazima kila post unayoisoma uijibuWaarabu wakatumie mdomo wako kama shimo la Choo au sio