Dada yetu mwaka umekata sasa bila ndoa au Tukupe mitano Tena?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wewe ni mzuri ndio hatukatai.
Una wowo ndio hatukatai.

Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai.

Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai

Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai.

Unatumia kila aina ya toleo jipya la Iphone! Hata hivyo Ndiyo hatukatai.

Umepanga apartment nzuri na za gharama na mabwanyenye yanalipa kodi bila kuombwa Ni ndio hatukai kabisa.

Swali ni mmoja tu mbona huolewi sasa mwaka unaisha?

Sasa umefik Level ya kuwa mshangazi sasa.

Kubwa kuliko umenyofoa mimba kama huna wazazi.

Zaidi ya yote utakuja hapa kusema tusipangiane kila mtu na maisha yake lakini nikuambie kwamba wewe hujafikia hata yodi wala nukta moja ya Queen Elizabeth pamoja na kwamba alikuwa mrembo mzuri na malikia wa Uingereza kama sio dunia yote lakini aliolewa alikuwa na mme na watoto!!

Hiyo miruzi inayokupagawaisha kwasasa ina mwisho.

Byebye
FB_IMG_1762767924914.jpg
 
Mimi ni huyo anaempokea dada yako nikiwa na upara wangu si unaijua shughuli ya watu wanaopiga mapara au dada yako hajakusimulia bado?
Kumbe wewe ni mwanaume. Sorry mkuu.kama dada yangu kaingia kwenye 18 zako piga tu
 
Wewe ni mzuri ndio hatukatai.
Una wowo ndio hatukatai.

Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai.

Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai

Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai.

Unatumia kila aina ya toleo jipya la Iphone! Hata hivyo Ndiyo hatukatai.

Umepanga apartment nzuri na za gharama na mabwanyenye yanalipa kodi bila kuombwa Ni ndio hatukai kabisa.

Swali ni mmoja tu mbona huolewi sasa mwaka unaisha?

Sasa umefik Level ya kuwa mshangazi sasa.

Kubwa kuliko umenyofoa mimba kama huna wazazi.

Zaidi ya yote utakuja hapa kusema tusipangiane kila mtu na maisha yake lakini nikuambie kwamba wewe hujafikia hata yodi wala nukta moja ya Queen Elizabeth pamoja na kwamba alikuwa mrembo mzuri na malikia wa Uingereza kama sio dunia yote lakini aliolewa alikuwa na mme na watoto!!

Hiyo miruzi inayokupagawaisha kwasasa ina mwisho.

ByebyeView attachment 3517938
Kwa sasa ndoa ni ngumu mno,mimi mpaka leo nafanya kazi ya kuwaunganisha wayu wanaotaka kuoana,aisee ni ngumu,ngumu sana watu kuona kwa sasa,wala usilaumu mtu yoyote ambae ama haoi au haolewi
 
Back
Top Bottom