Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Hakuna kitu kama hichi..pangaboi gani linauwezo wa kuhimili uzito wa mtu mzima..haliwezi hata kwa mtu wa kilo 25[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Bado kuna mtanzania mmoja huko kusikojulikana ataenda kujaribu hii.
 
HAMNA kapeace kwa ile raha yake water haitakauka itaendelea kuja tu na usisahau feni inapuliza juu huku chini kunakuwa kumezibwa na mwili wako.. angali mwenyewe hiyo picha uone.
Aisee niwe mkweli mimi siwezi Hilo zoezi
 
Hi n zaidi ya kujitoa muhanga , bao la mwish unaweza jikuta una score kuzimu mbele ya ule moto usozimika
 
Nacheka kama mazuri. Siku zote mapenzi ni starehe bana sasa pale watu wanapoigeuza ni kama adhabu huwa nashindwa kushangaa.

Na pia najiuliza joto hilo ni la dunia gani ambalo kwa style za kawaida halipatikani. Mimi hiyo raha wacha nisiipate tu kwa kweli.
Mkitoka hapo nyama za papuchi za kubandua na kutupa huko cjui labda mtie lubricant za magari kabla ya kuanza ila moto lazima uwake
 
kuna dada mmoja alikuwa anasimulia anasema kuna style ya mapenzi ambayo ni balaa..hii inawezekana kwa wale wadada ambao hawana uzito mkubwa sana.

anasema namnukuu " mwanamke unatakiwa usiwe na uzito wa ng'ombe.uwe na uzito wako wa wastani wa mbuzi au kondoo. unapokuwa na mtu mpenzi wako chumbani kwake au kwenu basi kuwe na feni ile ya juu. then bint unaweza shika mapanga mawili ya ile feni au kama ipo juu sana basi unafunga kamba ambayo unakuja ishika huku chini. wakati huo mpenzi wako anakuwa amelala chali. yupo standby.

basi mpenzi wako anaenda kuwasha feni kwa speed ya kawaida tu hasa namba moja na mbili. ile feni inapozunguka basi nawe mwanamke unazunguka then jamaa anafanya timing anaingiza anasema hapo feni inakuwa imesha gain momentum..so unazunguka huku machine ikiwa ndani kwa speed ya ile pangaboi"

anasema hapo mwanaume anaweza maliza double double hata mara 5 maana ni balaa...joto analopata na wewe mwanamke unalopata mnaweza jikuta siku hiyo hamtoki ndani. nilishangaa sana ubunifu huu wa waafrika hasa dada zetu kipindi hiki ambacho inasemekana kuna ukata.basi nao hawajabaki nyuma. najiuliza hivi hii mtu unaweza jaribu ukabaki salama?fikiria ile feni inavyozunguka halaf ndo iwe imefungashiwa kwenye mashine yako mwanaume....

View attachment 616723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh hii kiboko
 
aaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh.. gudume ,gudume , gudume......hatari hii bro. umenifanya nicheke kwa sauti kubwa sana.
 
gudume ungekuwa unaandika hivi visa viwe kwenye kitabu maana ..we bro una chai sana.... hasa katika maeneo haya.........
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom