Dada zangu hii style ya mapenzi ni hatari, unaweza muua mpenzi/mumeo kwa raha

Feni ikuzungusheje yaani acheni kutuletea ma story ya vijiweni
 
Hahahaha nadhani ungemuuliza huyo dada hiyo aina ya feni inayoweza sapoti kilo za mtu ingefaa sana
 
Hahaaa yani mechi inaenda kwa style ya feni lazma upate sugu kwenye pumbu
 
Sasa Hapa anapata raha na utamu nani?? huyo mshika feni au alielala chini? maana kwa kuangalia tu Hapa hizi n adhabu na hamna feni iliyochini kiasi hiko labda kama hyo nyumba baba na mama ni wafupi kama wakongoman na nyumba hyo ipo kama banda la kuku..lakini Hamna fund wa kujenga nyumba fupi ivo...

Halaf et Hajamaliza akaona aseme kama hajafikia achukue kambaa afunge,hiv hyo kamba inafungwaje huko juu kias kwamba izunguke mpk ikuzungushe naww uloishika...ebu tuache kuangalia catoon bana...

Haya n madhara ya kuangalia cartoon mda mref na kuamini kila anachokiona ktk tv..Halafu mtu unataka mtoto kajazia juu mpk chini...hivi dem ajazie awe na msambwanga wa kueleweka si hyo feni inavunjika yote??

Hizi story za mateja,hamna kitu hapa..ngoja niendelee kupoteza time mimi.
 
naona tanzania ya viwanda.don`t try at home
 
mje mvunjike na mikono kisa style za mapenzi...

shenziii
 
Aisee nimecheka sana kwenye gari watu wote wameniangalia duuu aibu hii wacha....
 
Kwanza iyo pangaboi inakuwa na usalama kweli mambo mengine jifikilie bwana
 
Pamoja na hali ngumu ya kimaisha, lakini huwezi kuamini mpaka sasa mshahara wa dhambi ni mauti.


#naenda_zimbabwe
 
Mguu utapiga kichwa ya baba
 
Hiyo sayansi ingekua ya maendeleo tungefika mbali sana, hata hivyo wazungu wanatusifia kwa hilo
 
Iyo ndo inaitwa pekecha pekecha. Mwanamke ni ulindi na mwanaume ni kama ulimbombo. Hapo lazima moto uwake.
Au lasivyo utasikia harufu kama ya mpira au tairi la gari linaungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…