Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

msela/mhuni hua yuko real sana
 
Wanawake wanapenda ngono za rough, mixer kuchaniwa bikini. Kwahiyo fantasies zao ziko kwa wanaume wahuni..

Which means wahuni wanapeleka moto kihuni kweli kweli....

Wewe na likitambi lako kutwa kuchomekea mashati ati unajiita gentleman....
Nimecheka sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa nini ulibadili mfumo mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
isije kuwa unachanganya wahuni na mabishoo. Kuna wale wahuni wahuni kweli yaani watu wa kuamsha amsha popote walipo hapapoi. Hizo code za huyo jamaa umempost za kibishoo/kisharobaro sana asee
Mi mwenyewe sijaelewa hapo sasa tafsiri ya uhuni ni ipi
 
nakumbuka chuo kuna jamaa alikuwa mtata, mlevi mtu wa kupigana, kesi za mara kwa mara mpaka polisi. kila mwaka wa masomo anabadirisha mwanamke, na hapo hapo chuo anakuwa nao wanne na kuendelea na wakati mwingine wanajuana.kwa uzoefu wangu hawa jamaa sio waoaji na ndio wanapendwa. Wakiishapotezewa muda huko ndio wanaanza maombi ya kuwa na mwanaume asiye muhuni
 
Wewe hujui maana ya uhuni
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri
Broke but extremely good in bed !!🀣🀣
 
anawakung'uta ipasavyo
 
Wanaume wapole tunaopendwa tu comment wapi
 
Daaah haya mapenzi yanaweza kukupa pressure tu ndo maana.........
 
Kama kuvuta sigara ni uhuni basi mhuni wa kwanza ni serikali inayoruhusu ziuzwe na kuvutwa. Laiti ungesema hata bangi japo nayo si uhuni bali uvutaji bangi. Huyo dogo ni mvutaji sigara wa kawaida na huenda anajua kuwatongoza. hao wadada. Pia, hukuwa na haja ya kujumuisha wasichana wote kwa mfano wa. huyo mmoja au wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…