Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama weupe dili ubuyu usingewekwa rangi.weupe dili.
Wamekaririshwa ukiwa mweupe unakua mzuri
Weupe huwataki?Kuna wakina sisi tunaopenda vyeusi mangala.
ndo hpo sasaKama weupe dili ubuyu usingewekwa rangi.
Weupe huwataki?
Ahhaahahahahahahah haya bana basi nimekukosa maana nikitaka nianze kukufukuziaHahahaa weupe itokee tuu sheikh.
In sheikh kipozeo's voice.
[emoji13]
[emoji13]
[emoji13]
[emoji13]
[emoji13]
Ahhaahahahahahahah haya bana basi nimekukosa maana nikitaka nianze kukufukuzia
Nakuachia vyeusi mangalaaaHahahaaa, weupe hawakataliwi yakhee. Maombi yao pia yanapokelewa na miye atiii. Nipo tayari kwa kupokea maombi yako. Haswaaa wale wenye neema za allah.
Dah, long live sheikh kipoozeo.
[emoji12]
[emoji12]
[emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaaa, weupe hawakataliwi yakhee. Maombi yao pia yanapokelewa na miye atiii. Nipo tayari kwa kupokea maombi yako. Haswaaa wale wenye neema za allah.
Dah, long live sheikh kipoozeo.
[emoji12]
[emoji12]
[emoji12]
Kuna wakina sisi tunaopenda vyeusi mangala.
Nakuachia vyeusi mangalaaa
Ahahahahahahah ni kweli eeeeIla jokes pembeni. Ukiongozana na mpodo barabarani somehow kwa jamii ya waatz heshima inakuwa kubwa.
Pia weupe unaficha mengi, yaani mwanamke akiwa mweupe ubaya wa sura unafichika somehow. ( hapa nazungumzia individual perception ya mtu )
Ahahahahahahah ni kweli eeee