Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' .
Huko mbeleni, wenye ndoto za kuolewa mtatoboa kweli?🙂
Huko mbeleni, wenye ndoto za kuolewa mtatoboa kweli?🙂