Dada zangu mtuliege

Funzo la hadithi : Wanawake acheni umalaya
 
Eti ninunue gari kwa ajili ya mwanamke kisa uchi!,
uchi wenye kwenda service kila mwezi!-HAIWEZEKANI KUBABAKE
Mkuu mm hapa npo Nawaza hlo gari ni la udongo au Yale ya mabox, siamin km Dunia imefika hatua ya kunichekesha kias hiki...
 
Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa🀣🀣🀣🀣
Kichwa chako kama kichwa cha chini ya miguu🀣
 
Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!

Chai ina pilipili.
Kwani unao wangapi mama, mbona unanipandisha pressure.
 
Kichwa chako kama kichwa cha chini ya miguu🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Weeeh kumbe vichwa vipo vingiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ€ͺ
 
Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa🀣🀣🀣🀣
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wewe wapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Weeeh kumbe vichwa vipo vingiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ€ͺ
Vipo kadhaa, kua uyaoneπŸ˜‚
 
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🀣🀣🀣

Wewe hapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????

Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni😍😍😍
 
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🀣🀣🀣

Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni😍😍😍
Hahaha, inabidi nitume walau ya supu kesho uamkie restaurant. Nongwq zimezidiπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…