Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wengi wana tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaahaaa. itakuwa mdigo huyoHivi vidada ni vipumbavu sana ona hiki
View attachment 3125859
Mkuu mm hapa npo Nawaza hlo gari ni la udongo au Yale ya mabox, siamin km Dunia imefika hatua ya kunichekesha kias hiki...Eti ninunue gari kwa ajili ya mwanamke kisa uchi!,
uchi wenye kwenda service kila mwezi!-HAIWEZEKANI KUBABAKE
Sasa unashangaa nini kudeti na wazaramooo ....kwani ujui wazaramo ndiyo uzaa na miaka 13 au 14 hivyo huyo bibi yake anaweza kuwa na miaka 38 au 45 tuHivi vidada ni vipumbavu sana ona hiki
View attachment 3125859
Eti jamani, chai pilipili afu ya motoAaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!
Chai ina pilipili.
Kwani unao wangapi mama, mbona unanipandisha pressure.Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!
Chai ina pilipili.
Una hoja. Uzingatiwe.Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!
Chai ina pilipili.
Inaingia kwa taabu na itatoka kwa taabu😅Eti jamani, chai pilipili afu ya moto
Kabisa😅Una hoja. Uzingatiwe.
😅😅😅😅Kichwa chako kama kichwa cha chini ya miguu🤣
Ulikuwa mfano tu babe, mimi ni wewe tu.Kwani unao wangapi mama, mbona unanipandisha pressure.
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!😅😅😅😅 Wewe wapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa🤣🤣🤣🤣
Vipo kadhaa, kua uyaone😂😅😅😅😅
Weeeh kumbe vichwa vipo vingi🙆♂️🙆♂️🤪
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🤣🤣🤣Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!😅😅😅😅
Wewe hapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????
Anataka? aliweka?Hivi vidada ni vipumbavu sana ona hiki
View attachment 3125859
Hahaha, inabidi nitume walau ya supu kesho uamkie restaurant. Nongwq zimezidi😅😅Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🤣🤣🤣
Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni😍😍😍
xaxa xi unijibu 😅😂Ebu andika tena hapa nione