Dada zangu mtuliege

Dada zangu mtuliege

Eti ninunue gari kwa ajili ya mwanamke kisa uchi!,
uchi wenye kwenda service kila mwezi!-HAIWEZEKANI KUBABAKE
Mkuu mm hapa npo Nawaza hlo gari ni la udongo au Yale ya mabox, siamin km Dunia imefika hatua ya kunichekesha kias hiki...
 
Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!

Chai ina pilipili.
Kwani unao wangapi mama, mbona unanipandisha pressure.
 
Sasa kweli kwa mfano tu zawadi za hivyo zije halafu nimtaje yule mpare ERoni kweli!!! Si hata shetani atanishangaa🤣🤣🤣🤣
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!😅😅😅😅 Wewe wapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????
 
Unajua kabisa na upare wangu siwezi hata kukopa laki nikakupa, hivi naanzaje kuwaza CX-5!!😅😅😅😅
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🤣🤣🤣

Wewe hapa hutajiuliza, utasema ni yule jamaa yako mwingine, ila nimeshangaa sana bado unatupanga, kweli????

Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni😍😍😍
 
Yaani hata ingekuwa afuhamsini ningehisi tu imetoka kwa baba yangu sio wewe🤣🤣🤣



Babe hakuna jamaaa mwingine, ni wewe tu wangu wa moyoni😍😍😍
Hahaha, inabidi nitume walau ya supu kesho uamkie restaurant. Nongwq zimezidi😅😅
 
Back
Top Bottom