Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

FB_IMG_1726771522218.jpg
 
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa kwenda chooni usiku wa ma8 si muamshe waume zenu wawasindikize!, na nyie singles tubadilishane number muwe mnatupigia tuwasindikize basi.
Kwa kweli ni kero
 
Tukupe namba maana ni wote tumepanga hapo
 
Back
Top Bottom