Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Na kweli mwaya ila huenda ikawa ndio anapata ahueni labda. Japo na mie pia nimejikuta namsikitikia tu.

Nakazia Pole kwake. Maisha haya siku zote ukitaka yawe magumu au mepesi mtengenezaji ni we mwenyewe ila ndio hivyo wengi hatulijui hilo.
Kabisa Hajar....umeongea kitu kikubwa sana, usitarajie kupewa furaha na binadamu yeyote humu duniani hata mumeo/ mkeo, raha unajipa mwenyewe!

Wahenga wanakwambia " maisha yako" kujitambua na kujielewa ni kitu muhimu mnoo
 
Naona hamna watu wenye a/c za bank hapa mnamiliki za mitandao ya simu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyoandika kwa kumaanisha sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye pesa..!!! Pesa sabuni ya roho ujue

[emoji13]
 
Uwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii

Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo


Naomba unifikirie tafadhali
Sasa nishauri tufanyeje
 
Uwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii

Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo


Naomba unifikirie tafadhali
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...mbavu zangu
 
Hahahaa. Sijui kwa nini moyo wangu unakataa hii kauli.

Sababu naona pesa inapatikana kwa shida au Mtani kwako ni kinyume.

(Pia Mtani hizo pesa au wasemea zile buku buku za kujiunga vifurushi vya chuo) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hicho nacho cha kujisifia?
 
akuuu wewe njaa kwiyo mambo ya kuchuna tut
 
Kwani na wewe mdogo wangu unaombaga eee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana hufananii hata. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Mimi siombagi Dada wanatoaga wenyewe πŸ˜€πŸ˜€ mzima jamani...?
 
Ahsante sana. Mie sijambo kabisa mdogo wangu namshukuru Allah niko poa?

Naona umevurugwa na kile kichambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana mdogo wangu.

Wazima huko?
[emoji23][emoji23][emoji23]

Dada angu we acha tu..Jf haichoshi ujue

Uku kwema Dada angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…