witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kabisa Hajar....umeongea kitu kikubwa sana, usitarajie kupewa furaha na binadamu yeyote humu duniani hata mumeo/ mkeo, raha unajipa mwenyewe!Na kweli mwaya ila huenda ikawa ndio anapata ahueni labda. Japo na mie pia nimejikuta namsikitikia tu.
Nakazia Pole kwake. Maisha haya siku zote ukitaka yawe magumu au mepesi mtengenezaji ni we mwenyewe ila ndio hivyo wengi hatulijui hilo.
Wahenga wanakwambia " maisha yako" kujitambua na kujielewa ni kitu muhimu mnoo