Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!Mhh kanaonekana katoto haka
Labda hatuwezi jua
Pole sana unapitia magumu [emoji120][emoji120][emoji120]Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Msieeewwww
Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!
Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]
Ila wadada mna rahaaa..Hela mnapewa na kukojozwa mnakojozwa. Kwa huduma tunayowapa inabidi nyie mtulipeInapaswa kuwa hivyo
ππππ mie naongeza wapo wanne tu mdogo wangu. ππππUwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii
Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo
Naomba unifikirie tafadhali
[emoji23][emoji23]Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!
Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]
NimetuliaHuna a/c ww tulia
Umesahau?...ule Uzi mrefu sanaNani huyo mmama wa 35?
[emoji23] [emoji23] umemkumbuka?[emoji23][emoji23]
Huyo wa 35 nae duh!
Hili nalo neno[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila wadada mna rahaaa..Hela mnapewa na kukojozwa mnakojozwa. Kwa huduma tunayowapa inabidi nyie mtulipe
NimeshamkumbukaUmesahau?...ule Uzi mrefu sana
Ntapigwa ban shost[emoji23] [emoji23]
Tatizo hatuwezi kubadili system. Ilisemekana tangu mwanzo kuwa mwanaume atakula kwa jashoIla wadada mna rahaaa..Hela mnapewa na kukojozwa mnakojozwa. Kwa huduma tunayowapa inabidi nyie mtulipe
Umesahau?...ule Uzi mrefu sana
Ntapigwa ban shost[emoji23] [emoji23]
ππππ mdogo mdogo utamwelewa tu. πππ
Sio huyo....jina lake ni la mke wa MugabeSijamkumbuka eti
Au yule happy?
Ahsante kwa kuliona hili mwaya. πππKabisa Hajar....umeongea kitu kikubwa sana, usitarajie kupewa furaha na binadamu yeyote humu duniani hata mumeo/ mkeo, raha unajipa mwenyewe!
Wahenga wanakwambia " maisha yako" kujitambua na kujielewa ni kitu muhimu mnoo
Here we go[emoji122] [emoji122] [emoji122] ....Nimeshamkumbuka
Aliekua analalama kutendwa na wanaume Mara kaibiwa mwanaume
Huyo nimeshamkumbuka...nakumbuka ule Uzi watu wengi walikula banSio huyo....jina lake ni la mke wa Mugabe