Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mhh kanaonekana katoto haka

Labda hatuwezi jua
Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!

Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]
 
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Pole sana unapitia magumu [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!

Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]

Nani huyo mmama wa 35?
 
Uwiiii ...wanaume kama ninyi mmebaki wawili tu Africa hii

Yani Mimi ni huyo apo kwa avatar..jina langu ni Iloilo..kila unachoona ni real hakuna kitu fake hapo

Naomba unifikirie tafadhali
😂😂😂😂 mie naongeza wapo wanne tu mdogo wangu. 😂😂😂😂

Nimecheka hapo chini lol.
 
Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!

Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]
[emoji23][emoji23]

Huyo wa 35 nae duh!
 
Kabisa Hajar....umeongea kitu kikubwa sana, usitarajie kupewa furaha na binadamu yeyote humu duniani hata mumeo/ mkeo, raha unajipa mwenyewe!

Wahenga wanakwambia " maisha yako" kujitambua na kujielewa ni kitu muhimu mnoo
Ahsante kwa kuliona hili mwaya. 🙏🙏🙏

Kweli kabisa na ndivyo ilivyo rafiki raha jipe mwenyewe na haipendezi kabisa kuzipa nafasi stress sababu mwisho wa siku zinazalisha magonjwa tu.

Yah. Exactly.
 
Back
Top Bottom