witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Usikariri ndugu....labda inawezekana pia, coz hata jinsi ya kuhandle, analyse, judgment ya vitu imekaa kushoto!Mhh kanaonekana katoto haka
Labda hatuwezi jua
Kuna mmoja yule aliyepata galasa humu tulikuwa tunamchukulia nae ni mtoto, kumbe ni mmama huko 35 na kitu, Ila mambo yake humu, utasema form IV hajamaliza[emoji15]