Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

[emoji23][emoji23][emoji23]

Nitakutag Dada angu shaka ondoa
Hahahaaaaa. Huyo alikuwa anatuchangamsha tu mdogo wangu sababu hakuna mwanaume anaeza toa pesa kirahisi hivyo hasa kwa kipindi hiki ambacho pesa imekuwa ngumu sana kupatikana.

Ila akikutumia nitag dada yako nije nidhihirishe kauli yake.
 
Uwiiii ID 10!!!!??mbona anajiweza


Pole kwa kupigwa madongo [emoji23][emoji23]
Jamani
Teacher huyo kapagawa balaa.....

Ila humu jf kuna watu wana story nyingi sana za uwongo yaan sana, mi simuamini mtu, kitu/ mada inayoletwa hapa jamvini na mtaani tofauti na uhalisia ..ngoja niishie hapa mmmh!
 
Yabidi tuje tuanzishe uzi wa TOKOMEZA STRESS 😂😂😂😂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora angekukopa!
 
Hivi wewe unajiona unanini kahaba tu jf unajisikia kama unaprivate jet kumbe hata gari huna
 
[emoji23][emoji23]

Hapo kwenye kupagawa nimemkumbuka Mke mwenzie yule aliyempora bwana

[emoji23][emoji23] yaliyopita yanasikitisha sana

Na kweli humu uongo ni mwingi mno
Teacher huyo kapagawa balaa.....

Ila humu jf kuna watu wana story nyingi sana za uwongo yaan sana, mi simuamini mtu, kitu/ mada inayoletwa hapa jamvini na mtaani tofauti na uhalisia ..ngoja niishie hapa mmmh!
 
Mama boys unamjua bana ingawa nimeona sie unaemuongelea
Haaahaaaa...twin mbona unazingua? Hebu ngoja nikupe code

Yule tuliyehadithiwa na jamaa kuwa anajipendekeza kwake mtaani halafu jamaa anamkwepa? Ndo huyo?

Anapenda kujisifia yy ni mzuri?? Ni huyo?

Kwamba wanaume wanampenda lkn yy hawataki ni huyo??

Kama sio huyu basi simjui twin[emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Katoto kamekuqote umeona?
 
Hata km nina kaz mwanamke kupewa hera inaleta taste konki....ndo unataka nimalize miez sita bila kula hela ya mr?
Haaahaaaa....umefura shost[emoji23] [emoji23]

Mwanaume asipokupa hela ake usema kweli ni anapoteza taste, yaani ni mvutoless!...hata storee zake zinageuka kuwa noise pollution aaagh!
 
Sasa wewe ulitaka mtoto wa watu apate wapi mahitaji yake kama hivyo?!

Mtoto wa kike kaumbiwa kupewa na mwanaume, anaweza kuwa ni baba yake, kaka yake, rafiki yake wa kiume na muhimu na kubwa zaidi ni kupewa na mume wake.....

Sasa wewe unataka tu mzigo halafu hautaki kutoa mahitaji brother, si ungepiga punyeto basi uone umuhimu wake....?!

Acha uoga nyie ndio mnadhalilisha kambi ya kiumeni miaka hii, ni mwiko kwa mwanaume kulalamika kumtunza mtoto wa kike kama mpo katika mahusiano.

Sasa buku jero au 3000 inakuwaje ngumu kutoa kwajiri ya mtu anayekubali kukusikiliza unachotaka kwake........

Na kwann utumie dada wa mwenzako kisha umtupe, si umuweke ndani uoe kabisa umtunze kiuhalali na pale ukikosa fanya kumuelekeza atakuelewa....
 
[emoji23][emoji23]

Hapo kwenye kupagawa nimemkumbuka Mke mwenzie yule aliyempora bwana

[emoji23][emoji23] yaliyopita yanasikitisha sana

Na kweli humu uongo ni mwingi mno
Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kuna ID yake moja ni maarufu, yaan ni kungwi kabisa jinsi ya kumhandle mwanaume, kumjali , kumthamini, na kwamba ameolewa, mume wake anampenda sana...akapata comments kama 500 hivi, wanaume wanamsifia kwamba atufundishe sisi tusio tii wanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kila nikikumbuka mbavu sina haahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…