Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Hivi we unataka ligi na mimi?... Am serious now?
Achana nae, utajishusha tu kuna watu ni wa kuwaacha kama walivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi we unataka ligi na mimi?... Am serious now?
Kabla siku haijaisha uulete mrejesho
Aaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....yule Dada noma aseee![emoji23][emoji23][emoji23]. Nilicheka akakaa siku mbili tatu akaja na uzi mwingine wacha wampopoe
Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.Hasamehewi huyu bi chau....coz hataki kujiheshimu!
Yy anafikiri mi simjui, kumtunzia heshima humu kama mwanamke mwenzangu hataki!
Namharibia sasa hivi mbwehaa huyu!
Mngese kweli huyu kubuhu mchafu...kumsitiri anaona namuogoopa huyu bi chau[emoji15] [emoji15] [emoji15]Achana nae, utajishusha tu kuna watu ni wa kuwaacha kama walivyo.
So ulitaka utumiwe fifty kutoka town to kibaha? mmh mtafute mooo u date naeWaambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
Usigombane na watahiniwa wa sobberhouse my dearHivi we unataka ligi na mimi?... Am serious now?
Ndo hivo my...liko desperate kinoma, basi aheshimu umri wake!Weh usinambie shosti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kakushushia barua
Hata mimi nipo serious now unanichukiaga tu sijui why unanipa maneno makali mabaya nimekufanyiaga nini au hupendi ona mtu akikoment kitu watu wakapenda au unaona nakuchukulia nani humu sema tujue kwa maana hakuna jema ulilowahi andika kuhusu mimi wewe ndio umeanza kuniita malaya wakafuata watu wote ni wewe ndio umeanza kunishusha nikadharaulika humu na hao mashoga zako .Hivi we unataka ligi na mimi?... Am serious now?
Sasa kama si malaya anaombaje hera mapema?Ukifanya hvyo ujue umeharibu atajifanya wife material na kukuuliza umeniona mayala?
Wewe ndio unazo sindio so unataka kuwa kama yeye mnajiamini nini nyie ???Usigombane na watahiniwa wa sobberhouse my dear
Let her be..hamnazo huyu
utajua mwenyewe na mnyama uliekua naye hayo mimi hayanihusu ni yako na mnyama wako ulienaye, nikusahihishe sjaolewa napambana na mambo yangu kivyangu wewe endelea tu na mambo ako hakuna wa kukulipia bando.Madam S nakuheshimu hata sikujui sijawahi kukujibu vibaya unaongea lolote nakujibu vyema kumbe wewe nawe ndio uko kitu kimoja nahawa ***** kunausemi unaosema umzania siye usiyemzani ndiye mtakatifu ndio wewe mmeweka moyoni mengi kumbe hata hamnijui ndoa nani anaitaka kweli dah mi mdogo eti msidhanie nilibibi .
Maana naona kama mimi naliwa tu ovyo kama chai hao ndio umeamua kuwa upande wao.
Dah kisa watu wakitanga mnajua kujipamba mbona huwapi wenzio basi mbinu wapate mabwana watulie basi kama wewe eti unajiheshimu kisa umeolewa au unamtu sisi tunawanyama tena waporini sindio.
Nimekuuliza unatafuta ligi na Mimi tushushe faili hapa?A
Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.
Nimekuvumiliaga nimekuchoka kila mahali unanipa maneno machafu unaijuaga umenionaga wapi nakuonaga tu hapo na avatar yako uasilia sikujui na wala sikuogopi ukiniharibia napunguza nini.
Wangapi umewaharibia umeishia wewe kuumbuka nakuumia.
A
Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.
Nimekuvumiliaga nimekuchoka kila mahali unanipa maneno machafu unaijuaga umenionaga wapi nakuonaga tu hapo na avatar yako uasilia sikujui na wala sikuogopi ukiniharibia napunguza nini.
Wangapi umewaharibia umeishia wewe kuumbuka nakuumia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti sobberhouse!Usigombane na watahiniwa wa sobberhouse my dear
Let her be..hamnazo huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti vocha ya mia 5. Na bado zinakuja nyingineKwahiyo umeamua kunidhalilisha leo
Jamani nimetumiwa vocha ya mia 5 hii lazima niilipe
Hasamehewi huyu bi chau....coz hataki kujiheshimu!
Yy anafikiri mi simjui, kumtunzia heshima humu kama mwanamke mwenzangu hataki!
Namharibia sasa hivi mbwehaa huyu!
Huyu kakosa na wakumuoa hasira kamalizia kwetuAisee naona hapo hadi mate yanakutoka..Si kwa maneno hayo