Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

[emoji23][emoji23][emoji23]. Nilicheka akakaa siku mbili tatu akaja na uzi mwingine wacha wampopoe
Aaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....yule Dada noma aseee!

Mimi toka siku ile simuamini kabisa mtu yeyote humu! Labda kama tunajuana nje ya hapa!
 
A
Hasamehewi huyu bi chau....coz hataki kujiheshimu!

Yy anafikiri mi simjui, kumtunzia heshima humu kama mwanamke mwenzangu hataki!

Namharibia sasa hivi mbwehaa huyu!
Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.
Nimekuvumiliaga nimekuchoka kila mahali unanipa maneno machafu unaijuaga umenionaga wapi nakuonaga tu hapo na avatar yako uasilia sikujui na wala sikuogopi ukiniharibia napunguza nini.
Wangapi umewaharibia umeishia wewe kuumbuka nakuumia.
 
Waambie wamezidi ubahili, mie nilikuwa napigiwa hesabu naambiwa kutoka ubungo hadi mbezi ni 1000 kwa m/kasi na 800 hadi kibaha unatumiwa 5000 nikaona upuuzi huu na mtu ana kazi hapo ila ubahiri wa hivi mm sipendelei
So ulitaka utumiwe fifty kutoka town to kibaha? mmh mtafute mooo u date nae
 
Weh usinambie shosti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona kakushushia barua
Ndo hivo my...liko desperate kinoma, basi aheshimu umri wake!

Anaweza kutuzaa wote humu huwezi amini!

Mi nilete picha angu hapa na yy nilete ya kwake kama sio mamaangu huyu
 
Hivi we unataka ligi na mimi?... Am serious now?
Hata mimi nipo serious now unanichukiaga tu sijui why unanipa maneno makali mabaya nimekufanyiaga nini au hupendi ona mtu akikoment kitu watu wakapenda au unaona nakuchukulia nani humu sema tujue kwa maana hakuna jema ulilowahi andika kuhusu mimi wewe ndio umeanza kuniita malaya wakafuata watu wote ni wewe ndio umeanza kunishusha nikadharaulika humu na hao mashoga zako .
Somimi sikuogopi dar nimesoma nimeishi na sikuogopi.
Niache niiishi kama umezoea kusema watu vibaya niache na ndio nipo serious kama wewe sitaki hizo comment zako chafu because kweli sikuogopi.
 
Sikutaka kukujibu lakini naomba nikujibu

Mimi sikujui vile vile na kupitia maandiko yako humu sjabahatika kukifaham hata unafananaje na sio kazi yangu hiyo, nimekwotowa nimejibu umeumia?? Katoto ubadilike sasa hayo ya kua watoto wa kitanga yamekujaje? Kuna mahali nimesema hayo?? Unakupenda tanga?? Karibu sana

Mimi siko hum kufunda watu,nipo humu nichangie nipunguze mawazo nicheka na watu maisha yaende shida iko kwako na alalamiko yako halafu s uliaga huku unatoka?? Unaaga as if hnakata roho bwan@!
Madam S nakuheshimu hata sikujui sijawahi kukujibu vibaya unaongea lolote nakujibu vyema kumbe wewe nawe ndio uko kitu kimoja nahawa ***** kunausemi unaosema umzania siye usiyemzani ndiye mtakatifu ndio wewe mmeweka moyoni mengi kumbe hata hamnijui ndoa nani anaitaka kweli dah mi mdogo eti msidhanie nilibibi .
Maana naona kama mimi naliwa tu ovyo kama chai hao ndio umeamua kuwa upande wao.
Dah kisa watu wakitanga mnajua kujipamba mbona huwapi wenzio basi mbinu wapate mabwana watulie basi kama wewe eti unajiheshimu kisa umeolewa au unamtu sisi tunawanyama tena waporini sindio.
utajua mwenyewe na mnyama uliekua naye hayo mimi hayanihusu ni yako na mnyama wako ulienaye, nikusahihishe sjaolewa napambana na mambo yangu kivyangu wewe endelea tu na mambo ako hakuna wa kukulipia bando.
 
A

Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.
Nimekuvumiliaga nimekuchoka kila mahali unanipa maneno machafu unaijuaga umenionaga wapi nakuonaga tu hapo na avatar yako uasilia sikujui na wala sikuogopi ukiniharibia napunguza nini.
Wangapi umewaharibia umeishia wewe kuumbuka nakuumia.
Nimekuuliza unatafuta ligi na Mimi tushushe faili hapa?

Coz naona unanitukana tu...mi kwanza tu uandishi wako unanitia kichefuchefu naweza kutapika!

Una hamu na mimi? Unaweza battle kweli?
 
A

Unaona unachuki na mimi kama nimekuchukulia moyo wako hapo unahemaje sasa usinichukulie mistari isiyo ya msingi.
Nimekuvumiliaga nimekuchoka kila mahali unanipa maneno machafu unaijuaga umenionaga wapi nakuonaga tu hapo na avatar yako uasilia sikujui na wala sikuogopi ukiniharibia napunguza nini.
Wangapi umewaharibia umeishia wewe kuumbuka nakuumia.

Mademu wakigombana ni raha sana ....dawa yao ni kuwat...omba wote
 
Heshimuni watu na nyie muheshimiwe sio mmenye watu tu.
Mimi nimechoka kila mtu akitaka atoe stress zake katoto kazuri.
Dah nanini mimi?
 
Back
Top Bottom