witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Naomba urushe post or comment yoyote ambayo nilishawahi kukushambulia!Hata mimi nipo serious now unanichukiaga tu sijui why unanipa maneno makali mabaya nimekufanyiaga nini au hupendi ona mtu akikoment kitu watu wakapenda au unaona nakuchukulia nani humu sema tujue kwa maana hakuna jema ulilowahi andika kuhusu mimi wewe ndio umeanza kuniita malaya wakafuata watu wote ni wewe ndio umeanza kunishusha nikadharaulika humu na hao mashoga zako .
Somimi sikuogopi dar nimesoma nimeishi na sikuogopi.
Niache niiishi kama umezoea kusema watu vibaya niache na ndio nipo serious kama wewe sitaki hizo comment zako chafu because kweli sikuogopi.
Hivi we unachanganya madesa eeeh?
Hiyo Dozi imeze vizuri mama...shauri yako