Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hata mimi nipo serious now unanichukiaga tu sijui why unanipa maneno makali mabaya nimekufanyiaga nini au hupendi ona mtu akikoment kitu watu wakapenda au unaona nakuchukulia nani humu sema tujue kwa maana hakuna jema ulilowahi andika kuhusu mimi wewe ndio umeanza kuniita malaya wakafuata watu wote ni wewe ndio umeanza kunishusha nikadharaulika humu na hao mashoga zako .
Somimi sikuogopi dar nimesoma nimeishi na sikuogopi.
Niache niiishi kama umezoea kusema watu vibaya niache na ndio nipo serious kama wewe sitaki hizo comment zako chafu because kweli sikuogopi.
Naomba urushe post or comment yoyote ambayo nilishawahi kukushambulia!

Hivi we unachanganya madesa eeeh?

Hiyo Dozi imeze vizuri mama...shauri yako
 
Sikutaka kukujibu lakini naomba nikujibu

Mimi sikujui vile vile na kupitia maandiko yako humu sjabahatika kukifaham hata unafananaje na sio kazi yangu hiyo, nimekwotowa nimejibu umeumia?? Katoto ubadilike sasa hayo ya kua watoto wa kitanga yamekujaje? Kuna mahali nimesema hayo?? Unakupenda tanga?? Karibu sana

Mimi siko hum kufunda watu,nipo humu nichangie nipunguze mawazo nicheka na watu maisha yaende shida iko kwako na alalamiko yako halafu s uliaga huku unatoka?? Unaaga as if hnakata roho bwan@!utajua mwenyewe na mnyama uliekua naye hayo mimi hayanihusu ni yako na mnyama wako ulienaye, nikusahihishe sjaolewa napambana na mambo yangu kivyangu wewe endelea tu na mambo ako hakuna wa kukulipia bando.
Ila tuseme ukweli sijawahi kukusema vibaya couze basi tu naona your fair but sasa na leo tena unanisema kama hawa wengine .
 
Ndo hivo my...liko desperate kinoma, basi aheshimu umri wake!

Anaweza kutuzaa wote humu huwezi amini!

Mi nilete picha angu hapa na yy nilete ya kwake kama sio mamaangu huyu
Achana naye wit. Usikubali mtu akupumzikie. Muache aandike akichoka ataacha.
 
Wewe ndio unazo sindio so unataka kuwa kama yeye mnajiamini nini nyie ???
Kwani wewe unajiamini nini?...mbona unatishia watu?

We ungekuwa na akili ungechukua positive hints zetu ukatafakari then ungepata majibu kuwa tuna nia njema na wewe!

Unakurupuka tu hata kama desperate sio kihivo asee
 
Mnadharau sana ndio maana dah naona hata nimehairisha kuolewa humu ni kero .
Tu bora niolewe kwingine.
Naondoka jf nimechoka kuitwa malaya na kila mtu.
Dah hamnijui mnaniita mdangaji hadi wadada wahumu waniona mdangaji.
Ngoja nihame nchi hii niende mbali.
Wakukuoa naye utamtoa wapi? Sikuizi hatuoi tunakula nakusepaaaa
 
Naomba urushe post or comment yoyote ambayo nilishawahi kukushambulia!

Hivi we unachanganya madesa eeeh?

Hiyo Dozi imeze vizuri mama...shauri yako
Kila siku nasema true yaani unaongea vizuri later unanipa madongo kama nini ndio nataka kujua why zamani nilikuwa sitaki kurudia mitihani so na nyamaza now nipo free nataka kujua why uko hivi.
Nikianza kukupa tutakesha ni nyingi comment wewe jua hujawahi kuongea jema lolote nani kamuambia nimepata mzungu .
Ukweli naujua mi mwenyewe ndio maana sitaki tena ni pewe maneno y karaha humu mimi nimtu mzima sasa nahitaji respect
 
Heshimuni watu na nyie muheshimiwe sio mmenye watu tu.
Mimi nimechoka kila mtu akitaka atoe stress zake katoto kazuri.
Dah nanini mimi?
Unajistukia tu mpendwa.....nikuhakikishie hakuna anayekuchukia humu! Bali unajichukia wewe mwenyewe!

Narudia soma point za wadau humu kukuhusu ubadilike!... Uache kuota!
 
Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia.

#Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo
#Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini?
#Mwingine utamskia, baby nywele zangu zinaniwasha hatari,nitumie 30K niende saluni.

Jamani tunajua hali ni ngumu lakini mnavyojirahisisha sana ndo watu wanawa konki konki halafu mnakuja kulalama baadae.

Sasa umtongoze mwanachuo ndo hatari zaidi, bill zote zinahamia kwako, usipojielewa utajikuta unalipa ada ya chuo na kumgharamia kila kitu.

Wanaume wanapenda wanawake wasiopenda kuombaomba kuna wanaume wakishanza kupata bill zisizoeleweka ndo wanapata sababu ya kuwakimbia na wengine watawavumilia ila wakishakula papuchi hamuwaoni tena.

Tunaelewa njaa ni kali ila nendeni kwa step la sivyo nyeti zenu zitaumia sana.
ahsante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom