Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Haaahaaaa.....katoto kazuri kakataza haya mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji79] [emoji125] [emoji125]
Katoto kazuri anaandika vitu ambavyo yeye mwenyewe havielewi.. Naamini hata kama amekataza inawezekana hakuelewa kama kakataza, sisi tuendelee na yetu
 
Nikukanushe hapo kwenye mchumba...sina mchumba humu my dear..na kama unahisi nimekuambia hamnazo sababu nahisi unanichukulia mchumba humu...umechemka
Eheee....umeona anachokiwaza huyu bidada sasa?

Unajua toka kanyang'anywa lile galasa lake kila demu humu anamchukia!

KWA KATOTO KAZURI:

Jamani katoto kazuri humu sisi hatuna wachumba kuwa na amani tu, na aliyekuchukulia hebu tupe codes zake tumtemeshe bwanaako asikupe stress bure ( najua utasoma hapa)
 
Tujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
Tulia acha uchakubanga tunawato.. Mba na buku mbili sembuse buku kumi
Siku mkijielewa Ndiyo tutaacha kununua K zenu
 
Eh ila wala sijajali couze unayatoa motoni yasikupe presha ila mimi sipendi watu wanaosema watu vibaya ndio maana nawajibu vibaya siku zote ukimjibu mtu vyema utajibiwa vyema.
Unaona sasa?[emoji15] ....eti nayatoa motoni[emoji23] [emoji23]

Sikio la kufa.....
 
Eheee....umeona anachokiwaza huyu bidada sasa?

Unajua toka kanyang'anywa lile galasa lake kila demu humu anamchukia!

KWA KATOTO KAZURI:

Jamani katoto kazuri humu sisi hatuna wachumba kuwa na amani tu, na aliyekuchukulia hebu tupe codes zake tumtemeshe bwanaako asikupe stress bure ( najua utasoma hapa)
Yani huyu jamani...hana tofauti na debe lenye kokoto

Asituchukie bana..apambane tu na mwizi wa galasa lake


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikusahihishe, usifananishe jf na fb hata mara mbili, ever since nimekua humu najihisi kudevelop busara mara mbili, imenifanya nijue mambo kibao ninekua na uelew mpana sana yote ni jf kikubwa zaidi s unajua na ba mjengo nimempata humu?? So ipe jf heshima yake usiifananishe na fb kabisa

Shida moja utagombana na wangapi kama kila mtu wamjia juu, jaribu kutake it easy kila jambo lichukulie kwa namba ya kujenga sio kubomoa, of course katoto mi naishi maisha yangu na vile naamini humu na hua nachangia according to me sasa na wewe UBADILIKE.
Ushauri mzuri jamani
 
Wanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu
Peleka ujinga huko tena ww utaolewa kule namtumbo mwanamke gan unadharau hivii.... Aaaaarrrggghhh
 
Hakuna kitu kinafikirisha kama mwanaume akuombe hela. Yani unajiuliza huyu ananionaje? Kwamba mimi nina hela au? Mwanaume wangu siku akajiroga kuniomba hela wakati zake sijala ajue anakula buroku la maisha
Acha ubinafsi.
 
Back
Top Bottom