witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mmmh....atafute JF tena?[emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23]
Anawakati mgumu sana
Hadi stress ziishe atakua kavamia wengi humu
Atulize tu akili na kuandika vya maana labda wanaume wa jf wanaweza mstiri mwanamke mwezetu
Humu kalamba joka tena jeusi tii
Atulie tu mtaani aweza kufanikiwa, yaani ukikosa mtaani usitarajie kupata in social networks