Atuwezi kukoma kamwe sisi ni wazee wakuonja onja na kusepaViherehere vyenu vinawaponza na ubahili wenu utakoma
Karibu tuongozane.Nitamsalimia
Sasa uko uendako si tungeenda wote turudi baadae
Katoto kazuri anaandika vitu ambavyo yeye mwenyewe havielewi.. Naamini hata kama amekataza inawezekana hakuelewa kama kakataza, sisi tuendelee na yetuHaaahaaaa.....katoto kazuri kakataza haya mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji79] [emoji125] [emoji125]
Eheee....umeona anachokiwaza huyu bidada sasa?Nikukanushe hapo kwenye mchumba...sina mchumba humu my dear..na kama unahisi nimekuambia hamnazo sababu nahisi unanichukulia mchumba humu...umechemka
Tulia acha uchakubanga tunawato.. Mba na buku mbili sembuse buku kumiTujiuze wapi kwanani mnadhani kila mtu anawaza kuliwa na malala haoi kanyie kunawadada kama sisi tunajituma nakila tulichonacho wanaume hawawezi kutununua hata waje na nini so usituweke pamoja nahao mnao wapa elfu kumi halafu mnajiona nikwakila mdada .
Dhamani yangu ndio maisha yangu.
Umenielewa naukome nahao magroup ya wenzio kunichanganya na vimada vyenu .
Mmenielewa maisha ni mwangu sijawahi uza k yangu kwamaana nasubiria mwanaume aje anioe kistaarabu so kama humu ndani kuna list ya wapumbavu wanaona wanawake ni wakujiuza kisa vihela vya mikopo mtukome na vinguo vya misaada na vigari vya mikopo na uchokaji wa maisha wenu.
Msituletee sisi .
Kazoeni hadhi zenu.
[emoji23][emoji23]Karibu tuongozane.
Twenzetu tutarudi baadae tushikane na mikono kabisa[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaaaa....stress majimuni[emoji23] [emoji23] [emoji125]Jana kaaga na kaapa harudi nashangaa leo namuona online akijibu hoja. Hahaaaaa watu na stress zao ni shidaaaa
Ewaaa...yy anahisi eti tunamchukia, sijui tuna mabwana atatuchukulia humu, mara tunamdharau yaani!....ni ana mawazo ya unegative tu kichwani mwake!
Aliyemtenda Mungu anamuona!
Hahahah.....Mademu wakigombana ni raha sana ....dawa yao ni kuwat...omba wote
Unaona sasa?[emoji15] ....eti nayatoa motoni[emoji23] [emoji23]Eh ila wala sijajali couze unayatoa motoni yasikupe presha ila mimi sipendi watu wanaosema watu vibaya ndio maana nawajibu vibaya siku zote ukimjibu mtu vyema utajibiwa vyema.
Yani huyu jamani...hana tofauti na debe lenye kokotoEheee....umeona anachokiwaza huyu bidada sasa?
Unajua toka kanyang'anywa lile galasa lake kila demu humu anamchukia!
KWA KATOTO KAZURI:
Jamani katoto kazuri humu sisi hatuna wachumba kuwa na amani tu, na aliyekuchukulia hebu tupe codes zake tumtemeshe bwanaako asikupe stress bure ( najua utasoma hapa)
Ushauri mzuri jamaniNikusahihishe, usifananishe jf na fb hata mara mbili, ever since nimekua humu najihisi kudevelop busara mara mbili, imenifanya nijue mambo kibao ninekua na uelew mpana sana yote ni jf kikubwa zaidi s unajua na ba mjengo nimempata humu?? So ipe jf heshima yake usiifananishe na fb kabisa
Shida moja utagombana na wangapi kama kila mtu wamjia juu, jaribu kutake it easy kila jambo lichukulie kwa namba ya kujenga sio kubomoa, of course katoto mi naishi maisha yangu na vile naamini humu na hua nachangia according to me sasa na wewe UBADILIKE.
Peleka ujinga huko tena ww utaolewa kule namtumbo mwanamke gan unadharau hivii.... AaaaarrrggghhhWanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu
Kanyang'anywa chezea JF...sasa kila akipiga mahesabu anahisi Wit ndo kamchukua! Mara Madam S labda or Yna2 ndo anae....shughuli anayo halooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuchukuliwa mchumba uwiii
Haaahaaa[emoji23] [emoji23]Ntarudi baadae.
Si unajua leo ni Friday.
Nsalimie na wite J.
Acha ubinafsi.Hakuna kitu kinafikirisha kama mwanaume akuombe hela. Yani unajiuliza huyu ananionaje? Kwamba mimi nina hela au? Mwanaume wangu siku akajiroga kuniomba hela wakati zake sijala ajue anakula buroku la maisha
Sawa ue na mchana mwema.[emoji23][emoji23]
Sawa nimekaribia
Mosque...Nitamsalimia
Sasa uko uendako si tungeenda wote turudi baadae
Ananipaga raha kinoma...full kujimix[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeunganisha dot nimepata jibu sahihi
Anafurahisha sana wallaah tena